Kwa CV hii kuna pointi kweli huko Arumeru

Kwa CV hii kuna pointi kweli huko Arumeru

Nyerere ni jina kama Joseph au swai. Wapo wazanaki ambao hawana uhusiano na hayati Baba wa Taifa lakini wanaitwa Nyerere. Broaden your thinking!
 
Ndio hapo watanzania tunapoliwa sababu tuaangalia CV sana kwa kazi ambaza hazina haja ya CV kubwa kubwa . Form six hata form four natosha kbis amtu kuwakilisha jimbo.

CV amabyo haingaiwi sana na wapga kura lakini ni ya muhimu kumfanya mtukuwa munge ni kuwa mkazi wa eneo fuani.

Hivi Dr au prof mwenye CV nzuri anayemtumia siku zaidi 300 akiwa dar na sio jimboni huyo anamzidi nni form six au form fur ambye anajua maingira ya jimbo ana anaishi kule jimboni.......

Mbunge kazi yake ni kufutailia shida za wananchi iwe ni maji ,shule barabara etc . Maskini ndio wakulima maana hwana wawikilishi bungeni . Raisa afirkirie hatakuwapa nafasi za upedeleo za wakulima ama iivyo kwa wanawake
 
makamu wa rais ni phd wa nyuklia. Kalifanyia nini taifa zaidi ya kuutaka urais hadi kukaribia kuwagawa wazanzibari? Ningeshangaa kama wazanzibari wangemchagua. Benson Bana kalifanyia nini taifa ukiacha ufundishaji na takwimu za kupika? Wako wengi. Wezi tu!!! Mkapa namfananisha na guinea pig which is a model organism. Mkapa is a model organism, a political rodent for absorbing political turmoils from oppositions, which unfortunately he has succeeded to fail. As a result, fear is oozing from every single pore of his hippo-like what what, manifested by his senseless utterance.
 
Nadhani ukienda kwa suala la vyeti kuna vihiyo wa CCM ni std 7 na wako bungeni na ni watu wa maana wana biashara kubwa na wengine wana vyeo maeneo mbalimbali ya nchi.
What matters is if you can deliver
 
Mkuu huyo Vicent Nyerere ndio kichwa ndani Chadema ndio maana wamempa ukampeni meneja.

Mungu akunyime fedha lakini akupe akili. Kuchaguliwa kwake kuwa kampeni meneja hakujalishi amehudhuria madarasa mengi kiasi gani. Wajinga wengi wanaoiingiza hii nchi ktk matatizo wanazo hizo degree mnazozishabikia kijinga kwa ujuha wa kusujudia mavyeti huku hakili hamna.

1. Waziri aliyesainisha mkataba wa Richmond hotelini naye ameishia form 4?
2. Aliyeruhusu twiga wakapakiwa kwenye ndege ya jeshi la Qatar naye ameishia form 4?
3. Anayetufanya tukae gizani hata baada ya mbwembwe na majivuno kuwa mgao wa umeme utakuwa historia naye aliishia form 4?
4. Wale waliosababisha leo hii tuilipe DOWANS mabilioni ya shilingi nao wameishia form 4?
5. Walioidhinisha ununuzi wa jengo la ubalozi wetu kule Italy nao wameishia form 4?

Mbona kuna wajinga wengi kama wewe ambao wana degree na hawana jipya zaidi wa kuwa watumwa wa makaratasi waliyonayo ilhali wanafanya madudu kama watu wasio hata na darasa moja na malezi!

Akili mbovu kabisa za kimagamba.
 
Profesa maji marefu darasa la saba,jah people drs la pili,lusinde hata chekechea sidhani kama alihudhuria.haya yote ni magamba uwezo wao wa kufikiria hauwezi kulingana na v.nyerere
 
Point ipo, Mkapa kamuua Mwalimu Nyerere ili awe huru kunajisi uchumi wetu Watanzania.
Vyeti ni makaratasi tu hata Lukuvi anavyo.
 
Mungu akunyime fedha lakini akupe akili. Kuchaguliwa kwake kuwa kampeni meneja hakujalishi amehudhuria madarasa mengi kiasi gani. Wajinga wengi wanaoiingiza hii nchi ktk matatizo wanazo hizo degree mnazozishabikia kijinga kwa ujuha wa kusujudia mavyeti huku hakili hamna.

1. Waziri aliyesainisha mkataba wa Richmond hotelini naye ameishia form 4?
2. Aliyeruhusu twiga wakapakiwa kwenye ndege ya jeshi la Qatar naye ameishia form 4?
3. Anayetufanya tukae gizani hata baada ya mbwembwe na majivuno kuwa mgao wa umeme utakuwa historia naye aliishia form 4?
4. Wale waliosababisha leo hii tuilipe DOWANS mabilioni ya shilingi nao wameishia form 4?
5. Walioidhinisha ununuzi wa jengo la ubalozi wetu kule Italy nao wameishia form 4?

Mbona kuna wajinga wengi kama wewe ambao wana degree na hawana jipya zaidi wa kuwa watumwa wa makaratasi waliyonayo ilhali wanafanya madudu kama watu wasio hata na darasa moja na malezi!

Akili mbovu kabisa za kimagamba.

Huo ndio ukweli mkuu, lakini watakuelewa?
 

[TD="bgcolor: #b1c3d9, colspan: 3"] GENERAL
[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Salutation
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Honourable
[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] First Name:
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Vincent
[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Middle Name :
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Josephat Kiboko
[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Last Name:
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Nyerere
[/TD]

[TD="width: 20%, bgcolor: #e9f0f0"] Member Type:
[/TD]
[TD="width: 38%, bgcolor: #e9f0f0"]Constituency Member
[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Constituent:
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Musoma Mjini
[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Political Party:
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]CHADEMA
[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Office Location:
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Box 557, Musoma
[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Office Phone:
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]+255 28 2620610/+255 713 275804
[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Ext.:
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Office Fax:
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Office E-mail:
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Member Status:
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Date of Birth
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]
School Name/Location

[TD="bgcolor: #b4c6db, colspan: 5"] EDUCATIONS
[/TD]

[TD="width: 27%, bgcolor: #b4c6db"] Course/Degree/Award
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #b4c6db"] Start Date
[/TD]
[TD="width: 13%, bgcolor: #b4c6db"] End Date
[/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: #b4c6db"] Level
[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Mukendo Primary School
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Primary Education
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1983
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1985
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]PRIMARY
[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Mwere Primary School
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Primary Education
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1985
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1988
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]PRIMARY
[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Iringo Primary School
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Primary Education
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1988
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1989
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]PRIMARY
[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Ikizu Secondary School
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]O-Level Education
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1992
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1995
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]SECONDARY
[/TD]

[TD="bgcolor: #b4c6db, colspan: 4"] CERTIFICATIONS
[/TD]

[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"] Certification Name or Type
[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"] Certification No.
[/TD]
[TD="bgcolor: #b4c6db"] Issued
[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"] Expires
[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]

[TD="bgcolor: #b4c6db, colspan: 4"] EMPLOYMENT HISTORY
[/TD]

[TD="bgcolor: #b4c6db"] Company Name
[/TD]
[TD="bgcolor: #b4c6db"] Position
[/TD]
[TD="bgcolor: #b4c6db"] From Date
[/TD]
[TD="bgcolor: #b4c6db"] To Date
[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]

[TD="bgcolor: #b4c6db, colspan: 4"] POLITICAL EXPERIENCE
[/TD]

[TD="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location
[/TD]
[TD="class: text_menu, width: 31%, bgcolor: #b4c6db"]Position
[/TD]
[TD="class: text_menu, width: 12%, bgcolor: #b4c6db"]From
[/TD]
[TD="class: text_menu, width: 10%, bgcolor: #b4c6db"]To
[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]CHADEMA
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Member - District Management Committee
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]2007
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]

[TD="bgcolor: #b4c6db, colspan: 2"] PUBLICATIONS
[/TD]

[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"]Description
[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"]Published Date
[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]

[TD="bgcolor: #b4c6db, colspan: 4"] SPECIAL SKILLS
[/TD]

[TD="bgcolor: #b4c6db"]Skill Name or Description
[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"]Years Experience
[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"]Acquired Through
[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"]Skill Level
[/TD]

[TD="bgcolor: #edeeee"][/TD]
[TD="bgcolor: #edeeee"][/TD]
[TD="bgcolor: #edeeee"][/TD]
[TD="bgcolor: #edeeee"][/TD]

[TD="bgcolor: #b4c6db, colspan: 5"] RECOGNITIONS
[/TD]

[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"]Recognition Type
[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"]Recognition Date
[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"]Reason
[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"]Action Taken
[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"]Issued by
[/TD]

[TD="colspan: 7"] No items on list
[/TD]

Nafurahi sana kuona mbunge mwenye elimu ya form 4 anavyompa pressure rais muuaji wa baba wa taifa.
 
bunge letu linabakwa na wabunge wenye degree,masters,phd tukiangalia kweli bunge letu linahitaji viwango hivyo vya elimu ili watu wakasinzie,kuzomea,kupiga makofi bungeni darasa la saba wanafaa pia kuwa wabunge siyo ishuuu kabisa elimu bungeni


Hapo umenena.

Niliwahi kusema humu kuna mbunge mmoja nadhani wa moja ya majimbo ya Tabora. Ana MD, MPH na MBA. Mbunge kama huyu (na wengine wengi tuu) amekimbia kutibu, amakimbia researches, amekimbia kusaidia watu na madegree yake, yupo pale bungeni kupiga makofi, kuzomea, kucheka au kupasha viti vya bunge. Hizi degree pale zinafaida gani. Hapo huo usomi wake unafaida gani kwa jamii. Je hapo huyo Dr. na huyo Vincent (kama kweli ameishia Form 4) wana tofauti gani maana wote wapo bungeni, wote ni wabunge na wote wamechaguliwa na wananchi ingawa kwa vyama tofauti na kwa style tofauti mwingine kwa kubebwa na system na mwingine kwa kukubalika na wananchi. Ila Tofauti ya VIncent (form 4) na huyu Dr. (MD, MBA, MPH) ni uzalendo wa kweli. Elimu yake ambayo wengine mnaona ni ndogo inatumika 90% to 95% wakati huyu mwingine ni vyeti tu ndo anavyomiliki ila elimu haipo, mkurupushe hapo na umwulize mambo ya MPH, MBA na MD aliyosomea ameshayasahau karibu 70% na huenda matumizi na faida ya hizo degree kwa wanacnhi ni 10-15%. Kukaa tu bungeni na kuchimbwa biti na CCM kisha kukaa kimya kuogopa kupoteza au kumwaga unga
 
Kuna aina nne za elimu. 1) formal education ambayo tunapata shuleni 2) Informal education ambayo tunapata kupitia maisha ya kila siku 3) Seminar/ au workshop hizi hutolewa kuhusu jambo fulani na huwa za mda mfupi. 4) discipleship/ apprenticeship education ambayo tunapata kutokana na kufuatana na mwalimu mfano ni kwenye magereji, watu wanajifunza kwa kuona jinsi fundi mkuu anategengeneza magari. Wanafunzi wa Yesu na Muhamad walijifunza kupitia njia hii. Siku zote aina ya nne ya elimu ndiyo hasa kile kinachopaswa kuitwa elimu. Ukikumbua akina Socrates, Plato na Aristotle walivyogeuza ulimwengu wa walsafa ilikuwa ni kwa njia hii. Socrates alikuwa mwanafunzi wa Academu ambaye alikuwa mtu wa kwanza kugundua mtihani. Hii ndiyo maana hata leo shule nyingi huchukua jina la academy kama heshima ya Academus. Academu alimfundisha Socrates kwa njia ya utume yaani discipleship. Socrates nay alimfundisha Plato kwa njia hiyo hiyo. Naye Plato alifanya vivyo hivyo kwa Aristotle gwiji wa falsafa.
Je mnaposema Nyerere hakusoma mnamaanisha kwamba hajapitia katika elimu zote hizo. Mbona mnakosa weledi? Je hawa maprofesa wanaojikomba kwa kiingereza kibovu kwenye tv wanafaida gani kwa nchi hii? Je akina Chenge, Lowasa na Rostam walisoma Cambrige wanafaida gani kama kila siku wanahusishwa na ufisadi?
Elimu si darasani tu, elimu ni kila mahali! Kama Nyerere angefanya jambo la kipumbavu, tungesema hajaelimika lakini si kwa kuangalia vyeti bali kuangalia nyanja zote.
Tafuteni hekima katika maamuzi ya mambo haya. Acheni kuvamia mambo, bila kufikiri kwa kina.
Mungu ibariki Tanzania.

You can avoid the reality, but you cant avoid the consequences of avoiding the reality.

Mkuu, asante sana kwa uchambuzi wako yakinifu. Sasa watu wanaweza kuanza kuelewa kuwa kuelimika si kwa kupata tu elimu ile itolewayo madarasani{FORMAL}.
 
WanaJF kuna utata mkubwa sana wa taarifa za wabunge zilizopo katika kumbukumbu za bunge. Nadhani ni uzembe wa kitengo cha uchapaji unaoendekezwa na bunge lenyewe. Kwanza hawana utamaduni wa ku update profile za wabunge.

Hata hivyo kuna baadhi ya wabunge wameshatoa taarifa juu ya kukosewa kwa taarifa zao, na bado kitengo hicho kimeshindwa kufanya marekebisho muafaka. Hivyo hii CV ya Mh. V.K. Nyerere kwa mujibu wa kumbukumbu za Bunge sio RELIABLE
 
Uongozi ni matendo na uadilifu wala si Elimu.Mbona hao wanoonekana wenye elimu ya juu na zingine degree za kupewa ndo wanaoongoza kwa ufisadi?
 
Back
Top Bottom