Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,875
- 3,236
Habari wakuu,
Tafadhali naomba msaada kufahamishwa kama mtu atasoma CBG akiwa form 5&6 na akimaliza na kufanya vizuri atakuwa na uwezo wa kusomea kozi gani? ningependa kufahamu orodha ya kozi hizo.
Majibu yenu ya msingi yatakuwa msaada mkubwa kwangu,Asanteni.