Kuna uhusiano gani kati ya cable tow (kamba ya utambulisho wa Freemason) na Spiritual chills kwa watu ambao sio Freemasonry?

dj afro fan

Senior Member
Jan 16, 2017
103
74
tafadhali soma hili na nisaidie kuelewa kinachotokea kwangu. Mimi kijana wenu wa Kitanzania, nina hizi spiritual chills energy (nguvu za kiroho) ambapo watu wengine wanaweza kuzihisi wakati ambao nitakuwa karibu nao, mtu atasikia kaubaridi mwilini mwake.

Hali hii hupelekea watu wengine kunihusisha na Freemasonry, hujasoma vibaya wananiita freemason wakati mimi sio Freemason.

Baada ya kuona hivo nilianza fanya tafiti Google kuhusu hiz Spiritual chills energy zinauhusiano gani na Freemasonry, nikapata kujua hii inaweza kutokea kwa mwanachama wa Freemason anapofanyiwa mila za viapo ndo anaweza kuziamsha hizi nguvu za spiritual chills (sijui kiswahili chake) hapo ndo nimechanganyikiwa nakuamua kuja kwenu kuomba msaada lakini pia nimeisha enda kwenye Freemason Lodge ya (sitasema) ili nipate kupata habari zaidi kuhusu hili lakini sikufanikiwa kwani lodge siku zote imefungwa na mimi naishi mbali siwez enda kila siku.

Lakini pia cha ajabu zaidi kilichotokea kwangu baada kwenda kwenye hiyo lodge Mara kwa Mara ni hichi kitu kinachoitwa cable tow. nayo hiyo niliifanyia utafit ambapo niligundua hiyo ni kamba isiyoonekana kwa macho ya nyama Ambayo hutumiwa kutambua urefu wa Freemason mwenzako ambaye anaweza kuhitaji msaada.

Kiukweli Nimechanganyikiwa jinsi gani ninaweza kuwa na hiyo cable tow na hizo spiritual chills wakati mimi si freemason. Ninahitaji msaada ili niweze kuwa na uwezo wa kujisaidia nafsi yangu. Asante.
 
Usitake kujifanya mzungu kwa jinsi ulivyoelezea inaonekana wazi mizimu yako inakutaka uwe mganga wa jadi ushauri wangu kitu Cha kwanza Anza kulala na kaniki utakuja kunishukuru hapa Hamna Cha sprite Wala cable wire hapo Mwizukulu wane utafute mkoba wako uanze ramli mara moja
 
Mapepo hayo.
Kama ni Mkristo kafanyiwe deliverance chap
 
Kuna muda ukipitia mada za humu kuhusiana na cult ya siri ya freemason huwa mtu unacheka sana... eti freemasonry unauza nafsi

Kuna "boya" mwingine anasema eti ukiingia unaapa kiapo cha milele eti "mbele daima nyuma mwiko", nataka niwaambie hao ni wajinga na desperate, don't pay attention to them.

.... kizuri chochote ni lazima dunia ipige vita kwa kukitangaza vibaya,ili wanufaika wawe wachache.... kizuri ni cha wachache,kibaya ndiyo huwa cha wengi yaani gombania goli...

.... kila imani ukiingia ni lazima uape kwa kutoacha... hata Biblia inasema mtu yeyote atakayemuamini Yesu na kisha kumuacha,basi maisha yake yatakuwa mabaya zaidi kuliko yale ya awali..

... so msilaumu kwa freemason tu pekee,anzeni kwenye biblia kwanza.... tunakwenda kwa haki yaani kwa facts...

Vijana acheni uoga uoga,fight! Fight! Fight!
Asiwadanganye mtu... kizuri huliwa na wachache... sisemi mjiunge ila tu najaribu kuwaweka huru kifikra kwa kuwaambia kiapo cha milele si huko tu,hata kwenye biblia kipo

Kijana usikubali ndoto zako ziishie njiani, kutana na watu wapya,kutana na destiny helpers... enjoy the adventures

Acheni kuwasema vibaya masons... acheni stori za vijiweni...
 
Upuuzi mtupu, fanyeni kazi hakuna mteremko. Hao freemasons wenyewe wanapokea watu wenye uwezo kifedha, ushawishi, vipaji na nidhamu ya maisha.
Mnakalia kubeti halafu wahuni wanawasihi mjiunge huko?
Freemasonry has nothing to do with your life.
Chapa kazi na nidhamu ya pesa hiyo ndiyo secret behind success!
 
Kuna majini yaliyotelekezwa. Ni kama tu mtoto aliyekimbiwa na wazazi wake, bado tu atakuwa na vibasaba vya wazazi wake.
Wewe ni serpent generation
 
Usitake kujifanya mzungu kwa jinsi ulivyoelezea inaonekana wazi mizimu yako inakutaka uwe mganga wa jadi ushauri wangu kitu Cha kwanza Anza kulala na kaniki utakuja kunishukuru hapa Hamna Cha sprite Wala cable wire hapo Mwizukulu wane utafute mkoba wako uanze ramli mara moja
Nmecheka kwa sauti aisee
 
tafadhali soma hili na nisaidie kuelewa kinachotokea kwangu. Mimi kijana wenu wa Kitanzania, nina hizi spiritual chills energy (nguvu za kiroho) ambapo watu wengine wanaweza kuzihisi wakati ambao nitakuwa karibu nao, mtu atasikia kaubaridi mwilini mwake.

Hali hii hupelekea watu wengine kunihusisha na Freemasonry, hujasoma vibaya wananiita freemason wakati mimi sio Freemason.

Baada ya kuona hivo nilianza fanya tafiti Google kuhusu hiz Spiritual chills energy zinauhusiano gani na Freemasonry, nikapata kujua hii inaweza kutokea kwa mwanachama wa Freemason anapofanyiwa mila za viapo ndo anaweza kuziamsha hizi nguvu za spiritual chills (sijui kiswahili chake) hapo ndo nimechanganyikiwa nakuamua kuja kwenu kuomba msaada lakini pia nimeisha enda kwenye Freemason Lodge ya (sitasema) ili nipate kupata habari zaidi kuhusu hili lakini sikufanikiwa kwani lodge siku zote imefungwa na mimi naishi mbali siwez enda kila siku.

Lakini pia cha ajabu zaidi kilichotokea kwangu baada kwenda kwenye hiyo lodge Mara kwa Mara ni hichi kitu kinachoitwa cable tow. nayo hiyo niliifanyia utafit ambapo niligundua hiyo ni kamba isiyoonekana kwa macho ya nyama Ambayo hutumiwa kutambua urefu wa Freemason mwenzako ambaye anaweza kuhitaji msaada.

Kiukweli Nimechanganyikiwa jinsi gani ninaweza kuwa na hiyo cable tow na hizo spiritual chills wakati mimi si freemason. Ninahitaji msaada ili niweze kuwa na uwezo wa kujisaidia nafsi yangu. Asante.
Choma bangi yako kimya kimya
 
Back
Top Bottom