Kwa COMBI (tahasusi) ya CBG form five na six,nitakuwa na uwezo wa kusomea nini?

Dr Count Capone

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,875
3,228
Habari wakuu,
Tafadhali naomba msaada kufahamishwa kama mtu atasoma CBG akiwa form 5&6 na akimaliza na kufanya vizuri atakuwa na uwezo wa kusomea kozi gani? ningependa kufahamu orodha ya kozi hizo.

Majibu yenu ya msingi yatakuwa msaada mkubwa kwangu,Asanteni.
 
Agriculture General, Agronomy na Animal Science, BA Economics, BA Economics & Sociology, Applied Geology,
Biotech&labaratory science, Holtculture, Humana nutrition
Health information system, Bcs in chemistry
 
Mkuu shukrani sana
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom