Laki mbili kwa mwezi? 50k kwa wiki na gari unatumia kila siku?
Hongereni wenye magari na mnatumia pesa kidogo hivyo.
Kama bado ni kijana na unajitafuta, Tafuta USAFIRI! I.e Toyota Carina, IsT and the like,Bajeti milioni 20
Bajeti ya mafuta laki 2 maximum
Sifa za gari
Isiwe gari ya kwenda sana gereji
Iwe inatengenezwa kirahisi hata mikoani
Spea kibao
Naungana na wewe Premio itafaa zaidi kwa bajet yake ya mafuta na upande WA spea hata chini ya mwembe fundi maiko anamaliza kazi😀😀😀😀😀Upande wangu kwa bajeti hiyo naona Toyota premioF itakufaa zaidi!, hebu wadau zaidi waje watoe miongozo.
Hata hiyo 10km kwa lita nayo dooh... Gari chache sana zinaipata hiyo kwa foleni za mjiniTufanye hesabu kwa utaratibu na kwa mantiki 👍
1️⃣ Mafuta kwa mwezi
Mafuta: Laki 2
Hiyo ni sawa na lita 70 za petrol
2️⃣ Ufanisi wa gari
Lita 1 = km 10
Kwa hiyo lita 70 = km 700 kwa mwezi
3️⃣ Umbali kwa siku
Siku za mwezi: 28
Km kwa siku = 700 ÷ 28 = 25 km
𝐊𝐰𝐚𝐤𝐨 𝐦𝐭𝐨𝐚 𝐦𝐚𝐝𝐚
👉 𝗷𝗲 𝗸𝗺 25 𝗻𝗱𝗶𝗼 𝗺𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝘇 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝘆𝗮 𝗴𝗮𝗿𝗶 𝗸𝘄𝗮 𝘀𝗶𝗸𝘂 𝗻𝘇𝗶𝗺𝗮??
uko sahihi kabisa mkuu.Naungana na wewe Premio itafaa zaidi kwa bajet yake .
Hata hiyo 10km kwa lita nayo dooh... Gari chache sana zinaipata hiyo kwa foleni za mjini
Shemej yako ndo anataka?Bajeti milioni 20
Bajeti ya mafuta laki 2 maximum
Sifa za gari
Isiwe gari ya kwenda sana gereji
Iwe inatengenezwa kirahisi hata mikoani
Spea kibao
Tatizo kwa mifumo advance ya umeme kama hybrid, mafundi wetu wengi bado wanapiga ramliKwa makadirio kwa siku unatembea kilometres ngapi?
Ishi na aqua hybrid
Fit hybrid utaenjoy maisha.
Mafuta ya laki 2 ni kama lita 70 ama 75, tufanye 70
Kwa gari la hybrid lenye kukupa 1L/25km mpaka 30..
Lita 70×25/30=1750 ama 2100 km
Sasa km 2100 ukigawanya kwa siku 30, ni sawa na km 70 daily ukichukua 1750 kwa 30 ni kama km 58 daily...
Chunguzq misele yako.
Hybrid ndio chaguo bora
Ingekuwa kwetu za umeme fresh, basi gari ya umeme ni suluhisho bora zaidi