Kwa baba tuko watano, kwa mama wanne..

Kwa baba tuko watano, kwa mama wanne..

mimi kwa baba na mama tuko wawili, ni mimi na kaka yangu sote ni watu wazima hivi sasa, ila mwaka jana around xmass nimepigiwa simu na mtu anadai yeye ni ndugu yangu mtoto wa baba, na mzee mwenyewe alishafariki kitambo 1994 nilichomjibu sawa hamna tatizo, since then hatujawasiliana tena.
 
kwababa 5 ,na mmoja wa mchepuko kwa mama tupo3 japo mimi na dogo wa kike 2 baba tofaut kila mmoja na wale 3 ndio baba mmoja japo kuna wa3 alifariki kwenye list yetu mi nimeamua nibez kwa upande wa mama tu kuwachek wadogo zangu
 
dadi isiyo na ukakasi ni upande wa mama Tu. Kwa baba mnaweza kuwa wengi wengine wanajuana wengine hata baba mwenyewe hajui Kama Ana watoto


Ndio maana wazungu wanasema MATERNITY is a fact but PARTENIY is a probability!!! Yaani una uhakika wa nani mama yako lakini kwa baba mmmmmmmmmmmmmm hata hiyo DNA huwa wanakosea!!!
 
Babu na bibi upande wa baba walikuwa vizuri, walizaa 11 net. Upande wa mama kwao baada ya bibi kufariki babu akaoa tena na kuzaa wengine.

Mzee alipata wa ujanani kabla hajamaliza shule. Kwa hiyo kwa baba tupo sita, kwa mama watano. Baba yetu tu ndio "alichemka", ndugu zake wote hakuna aliyezaa nje.
 
Juzi kati nilijikuta kwenye kampani ya watu wa rangi mchanganyiko
kulikuwepo na wazungu wachache...wahindi kadhaa..wasomali
waarabu...na sisi waafrika wawili watatu..

Wasomali na Waarabu sio Waafrika???
 
Duh swali zuri tena jepesi lakini halijibiki kilahisi kama unavyozani
 
Ndio maana wazungu wanasema MATERNITY is a fact but PARTENIY is a probability!!! Yaani una uhakika wa nani mama yako lakini kwa baba mmmmmmmmmmmmmm hata hiyo DNA huwa wanakosea!!!
Yes, matrelineal societies waliiona busara hii. Kwao ukoo ni wa mama na sio baba.
 
Huo ni uongo wa hali ya juu. Kwa race nyingine wanaficha lakini hayo mambo yapo sana tu. Huko uzunguni kuna familia za mzazi mmoja ziko nyingi. Trump ni ushahidi tosha wa ukweli huo. Waswahili tunasema ukweli ndio maana jambo kama hilo linajionyesah wazi. Wao wanaficha ukweli
 
Mfalme Suleiman alikuwa na wake 300 masulia kibao. Je, alikuwa mswahili???
Mleta Uzi haya mambo yapo tangu zamani , na sio ya waswahili tu.
 
Mbona mixed families common sana USA. Agalieni familia ya Trump tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom