Kwa baba tuko watano, kwa mama wanne..

Kwa baba tuko watano, kwa mama wanne..

Kwa mama tupo sita, kwa mzee tupo 31 wanaojulikana rasmi.
 
Labda wahindi kila wazungu naona ni worse kuliko hata sisi.
 
Duh
na kwa mama wote baba mmoja?
Ni watoto wake, wote Copy kabisa. Bado wa nje, ambao kiutaratibu wa kabila hawatambuliki rasmi.

Badala yake wanabaki kuwa watoto wa mwenye mke.
 
Hahahaa kuna vitu vingi ni kama vina nguvu fulani hivi...
unajikuta tu umedondokea mule mule
YANI!
namuombea binti yangu isimkute hii!
wanaume kama babangu na babake wanaweza wasiwe wapo (kwa case hii)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom