Kwa baba tuko watano, kwa mama wanne..

Kwa baba tuko watano, kwa mama wanne..

Hahaaaaa kwa mama wanne ila kwa baba haijulikani....

Si unazijua zile kazi ambazo watoto mnajuana wakati wa mazishi

Ila kwa kweli watanzania na ngono ni kama maji na oxygen...
 
baba alizaa na mama mwingine 3 mama nae alikuwa ana wengine na baba mwingine huko 2 wakaoana wakatuzaa 3
baba akaoa tena huyo mama alikuwa na wawili huko akazaa na baba watatu sasa sijui tupo wangapi hapa
Duuh...
 
Kwababa tuko nane kwa Mama niko mmoja mwingine alitangulia mbele za Mungu.

Mimi najisemeaga tu niko Peke yangu kwetu kuepusha maswali.

Haha why useme uko peke yako?
ndugu zako hupatani nao?
 
Sie wawili baba&maa mmoja ila sidhani ka wanangu wataepuka hili manake nna plans za kuzaa na wanaume watatu tofauti

Mnhh angalau wewe umepanga
wanawake wengi wanajikuta tu
 
Sie wawili baba&maa mmoja ila sidhani ka wanangu wataepuka hili manake nna plans za kuzaa na wanaume watatu tofauti
Wanaume watatu tofauti!!!!!!......
kwani unafanya majaribio ya bidhaa bora

ndio ndoto zetu lakini wabongo
 
Mimi kwa Baba nane 'wanaojulikana' kwa mama watatu. Ukichukuwa 'Baba Union Mama' (kwa wale wataalamu wa 'Set') unapata tupo ndugu 11 jumlisha na yule aliyeaga dunia jumla 12.

Idadi ya weza kuwa zaidi nikifanya Union 'mama wengineo'.

Binafsi sijawaepusha wanangu kwa hili kwani siku hizi wanawake wengi wanazaa na mimi huku wengineo pia wakitamani na kuomba wapate uzao na mimi.

Hadi sasa una wangapi? kwa wanawake wangapi?
 
baba alizaa na mama mwingine 3 mama nae alikuwa ana wengine na baba mwingine huko 2 wakaoana wakatuzaa 3
baba akaoa tena huyo mama alikuwa na wawili huko akazaa na baba watatu sasa sijui tupo wangapi hapa

Usikute na wanao utawapa huu mchanganyiko hivyo hivyo
 
Mimi kwa Baba nane 'wanaojulikana' kwa mama watatu. Ukichukuwa 'Baba Union Mama' (kwa wale wataalamu wa 'Set') unapata tupo ndugu 11 jumlisha na yule aliyeaga dunia jumla 12.

Idadi ya weza kuwa zaidi nikifanya Union 'mama wengineo'.

Binafsi sijawaepusha wanangu kwa hili kwani siku hizi wanawake wengi wanazaa na mimi huku wengineo pia wakitamani na kuomba wapate uzao na mimi.
Hongera nami nataka kuzaa na wewe
 
Usikute na wanao utawapa huu mchanganyiko hivyo hivyo
hapana ila mimi swala la ukewenza mimi nalielewa sana kwangu halina shida maana wote tumelelewa nyumba moja na mama zetu wote bila ubaguzi wala shida yoyote .chakula kinapikwa kimoja na hakuna mtoto aliekuwa na afya mbovu .
 
Hii ndo typical african family
angalau nyinyi kuna ndoa kabisa
Natjitahidi sana staki naomba mungu kwenye ndoa yangu yasitokee, manake kelele ukija huku unasikia oooh unawapenda wale sababu warabu,huku nako tunasema baba hutujali wale wanapotaka kitu sawa sisi no,yasi ilikua tafran tupu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom