Kwa baba tuko watano, kwa mama wanne..

Kwa baba tuko watano, kwa mama wanne..

tupo wangapi eti
Unazijua zile hesabu za baba John anaumri wa miaka 50 zaidi ya wanawe wawili. Ikiwa mmoja ana 3/4 ya umri wake je baba John anaumri gani?

Kila nikijumlisha idadi haikuji
 
mi kwa baba tuko wawili kwa mama watatu
wanangu mimi watatu ,wake sijui wangapi!

AHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAAH !
sijui hata umewaza nini!
 
Haha why useme uko peke yako?
ndugu zako hupatani nao?
Mzee alioa Wake watatu, wakwanza ndoa ya kanisani wake wawili akiwemo bimkubwa alioa Bomani Mama akiwa ndiye mke wa tatu.

Mama wa kwanza wawili
Mama wa pili wanne
Mama yangu wawili
Na wa nje mmoja

Sasa kuanza kuelezea imekuwaje naonaga mtihani Sana.
 
Ndo waswahili wengi tulivyo....
kila familia ina simulizi ndefu
 
mi kwa baba tuko wawili kwa mama watatu
wanangu mimi watatu ,wake sijui wangapi!

AHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAAH !
sijui hata umewaza nini!

Kwa standard za sasa nyinyi bado 'wazungu'
msome 'miss Natafuta' kwao walikuwaje..
 
baba yangu yuo humo ila mimi najitahidi isitokee sababu bado natamaa zangu zinaniita
 
Idadi isiyo na ukakasi ni upande wa mama Tu. Kwa baba mnaweza kuwa wengi wengine wanajuana wengine hata baba mwenyewe hajui Kama Ana watoto
 
Idadi isiyo na ukakasi ni upande wa mama Tu. Kwa baba mnaweza kuwa wengi wengine wanajuana wengine hata baba mwenyewe hajui Kama Ana watoto

Wayahudi na wataliano wanatumia mama tu kujua wewe ni myahudi au mtaliano
 
Kwa standard za sasa nyinyi bado 'wazungu'
msome 'miss Natafuta' kwao walikuwaje..
ahahahha ila babu na bibi yangu mzaa baba walifanikiwa bana!
Baba yangu kwao wako TASLIM!
hakuna step son wala step sister!
Kwa maisha ya kizamani zamani ilikuwa way too kawaida kuwekwa tu wazi kuwa kuna baba mkubwa ila hamwiti bibi yangu mama!
upande wa mama mmoja sio wa babu!
kwa mume wako mixer moja hatar!

Wait a minute,mbn kama inaenda kimfanano wa kiitifaki!
SIKUWAHI KUWAZA AISEE!
 
baba alizaa na mama mwingine 3 mama nae alikuwa ana wengine na baba mwingine huko 2 wakaoana wakatuzaa 3
baba akaoa tena huyo mama alikuwa na wawili huko akazaa na baba watatu sasa sijui tupo wangapi hapa
HAHHAHHAHAHAHH!
HII KIBOKO!
 
Hilo nalo neno......na mikoa ya Pwani ukimtambulisha ndugu yako kwa kusema huyu mdogo wangu bila kutaja hayo alio-observe mleta uzi ......utaulizwa mdogo wako kabisa baba mmoja mama mmoja?
 
hao waswahili hawajui kujibu maswali tu

Huenda sisi tupo wazi zaidi kujadili au kuweka hadharani watoto. Hao jamaa wanaweza kuwa na watoto ila hawataki kuweka wazi. Ulaya mambo ya ndoa kuvunjika yameanza kitambo na yameshamiri sana, na kwenye hizo ndoa watu wanazaaaaa kama mchungaji wa ufufuo na uzima, sasa unasemaje wanashangaa hizi seti za watoto?
 
ahahahha ila babu na bibi yangu mzaa baba walifanikiwa bana!
Baba yangu kwao wako TASLIM!
hakuna step son wala step sister!
Kwa maisha ya kizamani zamani ilikuwa way too kawaida kuwekwa tu wazi kuwa kuna baba mkubwa ila hamwiti bibi yangu mama!
upande wa mama mmoja sio wa babu!
kwa mume wako mixer moja hatar!

Wait a minute,mbn kama inaenda kimfanano wa kiitifaki!
SIKUWAHI KUWAZA AISEE!

Ina kawaida ya kurithi nahisi
binafsi nimeona wamama waliozaa kwanza halafu ndo wakaolewa
na mabinti zao huwa hivyo hivyo sijui why...

Hao waliokuwa taslim hongera zao..
very rare siku hizi....
 
Kwetu tupo8 baba 1 mama 1, kwangu nipo na mke mmoja nasubiri wa pili na watatu
 
Huenda sisi tupo wazi zaidi kujadili au kuweka hadharani watoto. Hao jamaa wanaweza kuwa na watoto ila hawataki kuweka wazi. Ulaya mambo ya ndoa kuvunjika yameanza kitambo na yameshamiri sana, na kwenye hizo ndoa watu wanazaaaaa kama mchungaji wa ufufuo na uzima, sasa unasemaje wanashangaa hizi seti za watoto?

Kwa pale niliona zaidi wahindi wa hapa TZ ndo wakishupalia hili
so ni kweli inawezekana wenzetu wanaficha tu pengine wao kuzidi sisi

but kwa wahindi wa hapa TZ naona wana hoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom