Kwa baba tuko watano, kwa mama wanne..

Kwa baba tuko watano, kwa mama wanne..

Mimi nina shida na hiyo, "kwa baba xxx na kwa mama yyy."

Si useme tu, tuko watano!
 
Mfalme Suleiman alikuwa na wake 300 masulia kibao. Je, alikuwa mswahili???
Mleta Uzi haya mambo yapo tangu zamani , na sio ya waswahili tu.
Sidhani kama wake zake walikuja na watoto wao tayari...
 
hapana ila mimi swala la ukewenza mimi nalielewa sana kwangu halina shida maana wote tumelelewa nyumba moja na mama zetu wote bila ubaguzi wala shida yoyote .chakula kinapikwa kimoja na hakuna mtoto aliekuwa na afya mbovu .
Are u a Muslim?!
 
Kwa mama 10 watatu wametangulia mbele ya haki kwa baba 7 akuna ata mmoja niliye naye baba mmoja na mama moja kwa baba pekee yangu na mama pekee yangu
 
Sawa mkuu. Sisi tuko sita. Kwa baba na mama tunaofahamiana. Baba alishatangulia mbele ya haki kwa kwa hiyo hatutegemei sana mabadiliko makubwa.

Kwa upande wangu tayari nimeshachafua utaratibu. Na kwa mujibu wa Daby hadi kuja kufikia menopizi sijui kama vidole vitatosha kuhesabu watoto
Yaan nimecheka daaaah.
Yesu dunia imeharibika, watu wanapanga makusudically kuzaa nje.
Nami nnayeongea hili haliniepuka
 
Sisi kwa baba tupo tisa, mama wanne tofauti tofauti. Mama mmoja ana wawili, mwingine mmoja, mwingine mmoja,na mama yangu watano.. Its not something to be proud of. Am ashamed to do the description.

Tamaduni za namna hii ni kama zimeanza kujirudia tena katika miaka ya hivi karibuni, unafikiri tatizo liko wapi? Kwa Wanaume ama Wanawake wa kizazi hiki? Nini suluhisho lake?
 
Kwetu tuko sita kwa baba watano kwa mama Niko peke yangu

blame no body
 
Hizo tabaka ulizozitaja, wao wanaandaliwa maisha na wazazi wao. Sisi (weusi) tunajitafutia maisha na kianzio sifuri.
Sasa hapo kati kati wakati maisha hayajakaa sawa tunakuwa na mahusiano ya hapa na pale, ambayo huleta hii kitu ya mama mmoja baba mbali mbali.
Tungekuwa na sisi tunaadaliwa maisha na wazazi wetu, hii kitu isingekuwepo kwa sana.
 
Tulizaliwa 9 baba mmoja na mama mmoja. Na wala sijawahi kusikia wala kuona mtoto anayefanana na sisi. My parents were heroes. May they rest in peace. Amen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom