Vijana wangu wa kiume wanamazoea na mimi sana

bulajunior

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2024
Posts
624
Reaction score
898
Wakuu habari zenu.

Pamoja na ugumu wa mambo ya nchi yetu ningependa kutanguliza samahani kwanza hata mimi natambua tunayopitia hayaridhishi kabisa japo wachache wanufaika wanaona shwari tu.

Mimi Nina vijana wangu wawili mmoja miaka 5 na mwingine miaka 4 miezi 10 wote wa kiume, msishangae umri wao huo ni kwa sababu wao mama tofauti nilijikuta nawapa mimba wanawake wawili kwa muda mmoja sikukataa mimba nilizitunza hadi wakazaliwa watoto wangu mama mmoja hakuwa na hiana alisogea tukaanza maisha mwingine alikimbia anakojua yeye.

Basi bhana hawa watoto najiuliza hivi mimi Baba Yao au babu Yao? wanamasiala sana kuna muda wanaweza kuamua kunipiga tu mateke wakakimbia au kuna muda wakitaka kwenda shule asubuhi huwa nawapa jerojero ya vitafunio basi wakiomba hela Wanaanza oya hela ya shule tupe! na wakati huo kama umelala wanakupigapiga kichwa yaani utani mwanzo mwisho!

Wakuu hivi ndivyo baba anatakiwa awe au nianze mikazo wakae mbali na mimi ili nisije kuchelewa. Waswahili walisema samaki mkunje angalia mbichi!
 
Miaka minne au mitano, mwache akuchezee. Ila mazoea ya kuwapa pesa sio mazuri. Kuliko wakapige mateke, kama kuna mpira wa miguu cheza nao.
 
Utani uwepo ila mipaka ni muhimu,wasije kupitiliza ukajikuta wameharibikiwa sehemu...
 
hapo nimekupata swafii kabisa mkuu na hii nilikuwa nafanya kuwa marafiki nao sana na kumpoza huyu mwingine ambaye mama yake siishi nae asije kuwa mnyonge lkn kuna time nakazaga hadi wanaogopa sasa nakuwa namwonea huruma dogo huyu asiye namama maana Hana pakwenda kushitaki na kupata faraja
 
MWAMBA MSHUKRU MUNGU SANA.. HAO NDO NDUGU ZAKO, WATUNZE, CHEZA NAO, ENJOY NA VIJANA WAKO, WAFUNDISHE KAZI, KAMA KUNA MICHEZO NA UNA MUDA CHEZA NAO..
elewa neno "NDUGU ZAKO"

WANAWAKE KAMA WANAWAKE WANA MBINGU YAO..USIOGOPE KUZOEANA NA WANAO NA KUCHEZA NAO!
mkuu unapress mle mle nakubali👊👊👊
 
Mnataka wakimbizane na mama zao tu nyie hamtaki kufinywafinywa hata wamama wanachoka na hekaheka za watoto ukisema wamama waseme wanayopitia na watoto kutwa nzima wataandika kitabu
Hiyo ndo maana ya kuitwa mzazi
 
Wakuu habari zenu.

Pamoja na ugumu wa mambo ya nchi yetu ningependa kutanguliza samahani kwanza hata mimi natambua tunayopitia hayaridhishi kabisa japo wachache wanufaika wanaona shwari tu.

Mimi Nina vijana wangu wawili mmoja miaka 5 na mwingine miaka 4 miezi 10 wote wa kiume, msishangae umri wao huo ni kwa sababu wao mama tofauti nilijikuta nawapa mimba wanawake wawili kwa muda mmoja sikukataa mimba nilizitunza hadi wakazaliwa watoto wangu mama mmoja hakuwa na hiana alisogea tukaanza maisha mwingine alikimbia anakojua yeye.

Basi bhana hawa watoto najiuliza hivi mimi Baba Yao au babu Yao? wanamasiala sana kuna muda wanaweza kuamua kunipiga tu mateke wakakimbia au kuna muda wakitaka kwenda shule asubuhi huwa nawapa jerojero ya vitafunio basi wakiomba hela Wanaanza oya hela ya shule tupe! na wakati huo kama umelala wanakupigapiga kichwa yaani utani mwanzo mwisho!

Wakuu hivi ndivyo baba anatakiwa awe au nianze mikazo wakae mbali na mimi ili nisije kuchelewa. Waswahili walisema samaki mkunje angalia mbichi!
😂😂😂😂😂😂😂🚶
 
😂😂😂😂😂😂😂
 
Mnataka wakimbizane na mama zao tu nyie hamtaki kufinywafinywa hata wamama wanachoka na hekaheka za watoto ukisema wamama waseme wanayopitia na watoto kutwa nzima wataandika kitabu
Hiyo ndo maana ya kuitwa mzazi
alooo kweli hii hekaheka watoto watundu ukipumzika mchana basi wanakusumbua wanakupuriza masikioni wanakimbia
 
Back
Top Bottom