Na dingi kwao walizaliwa 40.
Mama kwao walizaliwa zaidi ya 40.
Ilikuwa ni kawaida kuwa na ndoa ya mke zaidi ya mmoja na walikuwa hawadhuriani.
Dingi alikuwa na ratiba yake Kwa kila mwanamke ambaye yuko Kwenye himaya yake.
Watoto wote wa kiume alikuwa akihakikisha anakuwa nao kwa karibu ili kuwafundisha "being a man".
Watoto wa kike na mama yao.
Hii ni kawaida. Mwafrika asipopata mtoto wa kiume haridhiki. Mfano babu yake Baba alioa wake watano ili apate watoto wa kiume lakini hata hivyo hakuna mke aliyezaa watoto wa kiume zaidi ya wawili mostly alizaa wakike.
Babu yangu kazaa mtoto mmoja wa kiume tu ambaye baba na hakuoa wake wengi ni mmoja tu.
Ngoma ya watoto ipo kwa wajukuu sisi mmoja anao watoto kumi mama zao sita. Hapo kazi kwelikweli.
mara nyingi hutokea baada ya mzazi wa kiume kufariki ndo familia hufaham wako wangap nje ya uzao wa tumbo moja. hasa baba awe dereva wa maroli ya mikoani ndo balaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.