jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
You made my day mkuu, You proove to be African man.Mimi kwa Baba nane 'wanaojulikana' kwa mama watatu. Ukichukuwa 'Baba Union Mama' (kwa wale wataalamu wa 'Set') unapata tupo ndugu 11 jumlisha na yule aliyeaga dunia jumla 12.
Idadi ya weza kuwa zaidi nikifanya Union 'mama wengineo'.
Binafsi sijawaepusha wanangu kwa hili kwani siku hizi wanawake wengi wanazaa na mimi huku wengineo pia wakitamani na kuomba wapate uzao na mimi.
