Hiyo pia haikuniacha!Ina kawaida ya kurithi nahisi
binafsi nimeona wamama waliozaa kwanza halafu ndo wakaolewa
na mabinti zao huwa hivyo hivyo sijui why...
Hao waliokuwa taslim hongera zao..
very rare siku hizi....
Kwa baba wanne,kwa mama watatu....
Hiyo pia haikuniacha!
my mother alipata mtoto kwanza ,after some yrs ndo akakutana na babangu,
I had my first born kabla sijaolewa ,lakini niliolewa na huyo huyo.
Hiyo kitu ilikua kwa babu mzaa baba!Hii ndo typical african family
angalau nyinyi kuna ndoa kabisa
baba yangu ana watoto nane . wamama watatuBaba yako ilikuwaje?
Yaani mtu unaweza kukuta unagegeda dada yako!Na hao wawili kwa baba yako kwa mama zao wana ndugu wengine i am sure
Tuko wawili!
The Boss zamani wazee walizaana sana kwa sababu za kimila, ilionekana kuwa na wake wengi na watoto wengi ni utajiri, na hasa katika zile jamii ambazo zilihusika na kilimo na ufugaji kwani nyumba(mama na watoto kwa baba mmoja) zilishirikiana katika kuboresha familia ilikuwa kawaida sana kwa wazee wa vijijini kuoa wake wengi.
Acha kabisa babu yangu mie ana watoto 30 kwa wake zake wawilibaba yangu ana watoto nane . wamama watatu
Baba mmoja mama mmoja watatu...huyo wa nne alikuwa na mama yake
but ilikuwa ndoa kabisa..
Yaani mtu unaweza kukuta unagegeda dada yako!
Hapo hamn cha DnA huulizi mbonKazi ipo hapo
akifanya DNA anaweza zimia