Naomba msaada jinsi ya kudownload vitabu kwa kutumia PDF drive

Adlo

Senior Member
Jul 15, 2022
197
238
Habari Wana jukwaa, Kama kichwa kinavyojieleza naomba msaada jinsi ya kudownload vitabu kwa kutumia PDF drive, maana Kila nikijaribu nashindwa Kama kufungua akaunti nimefungua na kufuata process inayoitajika lakini ikifika upande was download books ai respond, Naomba kwa mwenye uzoefu na hii site anisaidie.
 
Sababu zinazopelekea wewe kushindwa kudownload zinaweza zikawa nyingi. Hebu jaribu kugoogle let's say "pdfrive doesn't download" alaf angalia causes na solutions.

Huku unaweza kusubiria sana majibu. Binafsi kwangu inakubali bila shida
 
Habari Wana jukwaa, Kama kichwa kinavyojieleza naomba msaada jinsi ya kudownload vitabu kwa kutumia PDF drive, maana Kila nikijaribu nashindwa Kama kufungua akaunti nimefungua na kufuata process inayoitajika lakini ikifika upande was download books ai respond, Naomba kwa mwenye uzoefu na hii site anisaidie.
Hata mm kwangu haikubali inafika miezi minne sasa
 
A history of modern Europe, 1789-1981 by Herbert L. Peacock…. Mkuu naomba unisaidie hiki kitabu tafadhali Mwl.RCT
 
A history of modern Europe, 1789-1981 by Herbert L. Peacock
1706604270622.png

Sijafanikiwa kuona soft-copy
 
Sikuizi mi natumia ocean of pdf, nzuri sana .. napata almost vitabu vyote ninavyovitaka. Check this out
OceanofPDF
OceanofPDF.com
 
Back
Top Bottom