bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 758
- 1,023
ETI?Certified idiot
ETI?Certified idiot
Maana yake nini mkuu ?Certified idiot
"DDD" ya HKL na "F" ya GSKwa matokeo yapi ukasome mlimani
Hivi kijiti kina umuhimu wowote kwenye maisha ya nje ya shule?Mkuu sema umekosa point ya kuzungumza kama vipi wewe lala tu kuliko kuniita mtoto wakati nina kijiti tena cha science si ajabu ww ulikosa hata two na art yako maana watu wa science sio wagumu kuelewa kama wewe
Wewe nae kiinglish kinakusumbua kama mkuluBest student wa mwaka gani!!?
Labda best looser student
Bila shaka matokeo ya mwanafunzi wa Kibakwe. (Shule imekuwa ya tatu kimkoa)Member
Wewe ndio hujui kituMkuu hapo chuo upati kwa vigezo vya sasa unatakiwa uwe na cut-0ff point ya 4 yenye principal atleast 2 mfano huwe na D mbili ktk masomo yako yaani licha kuwa na hiyo cut-off point 4 kwa kufauru somo moja vizuri km unaprincipal mbili hupati hata km ingekuwa AEE.
Kasome TCU guide book au uliza chuoni moja kwa mojaMember
Unaweza kupata inategema na course unayoomba maana kile chuo kina competition, lkn kuna course zingine hazino competition wanakuchukua tu"DDD" ya HKL na "F" ya GS
Acha uongoYap amgekuwa na atleast D mbili ktk masomo yake angepata.
Hiyo ni zamani ambapo kigezo kilikuwa ni E mbili. Hicho kipindi E ilikuwa inahesabika kama principal pass ila kwa sasa mambo yamebadilika principal pass ni kuanzia D and above.Naona katka hili kila mtu analake , lkn mbna ndgu yangu alipta eec na alipta chuo yupo udom ualimu
Matusi ya nn inamaana wew hujawahi kufeli kwa chochote?huu sio uungwana kama hujisikii kumsaidia mtu kwa mawazo bora unyamaze watu tumeumbwa kutegemeana kama wew umeumbwa kujua kila kitu wengine hatufahamu vitu vyote!ubinadamu hauko hivyo ndugu!Shenzi kabsa... HGK una feri na HGL wasemeje sa
Anapata aombe lakin kwa tahadhariMdogo wangu ana matokeo haya anaweza kwenda chuo kikuu naomba maoni na ushauri wenu wapendwa!
GS F
History F
Geography E
Kiswahili ,C
E kuwa principal hiyo ni kitambo imebaki zilipendwa!!!! hakunaga principal ya E zama hizi D ndio principal pass so ili upate chuo atleast huwe na Hzo D kuanzia 2 sanuka mzee ndio ukweli huo hata km mchungu!!!Wewe ndio hujui kitu
Hapo chuo anapata kama kawa tena degree
Coz Hiyo E Ni principal pass pia
never, a minimum of two Ds ie 4 points from two subjects at a minimum of DUsipaniki vyuo vipo bwerere, ata(uta)pata tu
Ila we jamaa ni mbishiE kuwa principal hiyo ni kitambo imebaki zilipendwa!!!! hakunaga principal ya E zama hizi D ndio principal pass so ili upate chuo atleast huwe na Hzo D kuanzia 2 sanuka mzee ndio ukweli huo hata km mchungu!!!
Ndugu mbona una roho ya kwanini hivyo aisee? yaani unatumia nguvu kubwa kupotosha wenzio why? kama hujui si unyamaze tu kwani sh.ngapi? Ukweli ni kuwa E ni principal pass ambayo ni 1 na kinachotakiwa ni point 4 kwenye masomo 2 kwa hiyo mwenye CE ana 3+1Sio kosa lako mkuu kumbe enzi zenu sababu wanafunz waliokuwa wanaenda chuoni walikuwa wachache ndo maana mlikuwa mnachukuliwa hadi wenye CE si aja u na wewe ulikuwepo kwenye kundi hili ndo maana unatetea ujinga wako. Nipende tu kukujulisha mkuu naweza nikawa mdogo kiumri lakini nikawa nakuzid akili afu kingine kumbuka kwamba vigezo vinabadilika kadri muda unavyozid kwenda. Enz zenu za mkoloni hadi nyie wenye vi E vyenu mlikuwa mnaruhusiwa kusoma degree sababu mlikuwa mnahitimu Elf nne na point hv na kipind hicho chuo kilikuwa UDSM peke yake sasa ili kupunguza mahitaj makubwa ya wasomi nnchini na nyie wenye CE mlikuwa mnachukuliwa. sasa hivi tunahitimu laki na ushee wasomi ni wengi kuliko nafasi zilizopo. Ndo maana serikali ikaamua kuweka vigezo vya kwenda chuo kusoma degree viwe DD ili kuboresha mabomu tunayoyatengeneza kuliko kuendelea kuchukua CE tukazalisha UPE new version