ICT_student_TZ
JF-Expert Member
- Jun 27, 2018
- 392
- 175
Si kweli mkuu kigezo kikuu sio DD bali ni kupata point NNE (4) za TCU ambazo zinahitaji ufaulu wa chini wa DD au CE kutoka kwenye masomo MAWILI. Tembelea admission guide ya TCU 2019/2020.
Ila we jamaa ni mbishi
Hivi umesoma tcu guide book kweli ngoja nkuwekee picha na ukitaka tcu guide book ya mwaka huu ntakupatia View attachment 1154732
na vipi kuhusu AFF(5+0=5)
Principal pass kutoka masomo mawili,AFF ni somo moja hapo
sawa vp kuhusu ASS(5+0.5=5.5) KWA MAELEZO YA Baba Swalehe hapa hata S ni principle kama ntakuwa nimemuelewa vizuri.Hiyo hupati inatakiwa principl pass 2
A-=5 F=0
Labda A=5 E=1