AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,040
Daaah mm nina CES hata open siwezi kusoma degree jamani
Chuo unapata mdogo wangu tena sio open tu hata UDOM SAUt.
Una principle mbili CE zenye cutofff point ya 4. So unapata chuo.
Daaah mm nina CES hata open siwezi kusoma degree jamani
E kuwa principal hiyo ni kitambo imebaki zilipendwa!!!! hakunaga principal ya E zama hizi D ndio principal pass so ili upate chuo atleast huwe na Hzo D kuanzia 2 sanuka mzee ndio ukweli huo hata km mchungu!!!
Humu kuna wachangiaji wa aina tatu-kuna wanaoshauri kutokana na yale walio SIKIA hata kama hawajayahakikisha. Kuna wanaosoma vyanzo sahihi lakini hawaelewi kile wanachosoma sijui tatizo liko wapi. Na mwisho ni wale waliokuwa makini hadi kutuwekea vigezo vya TCU au Vyuo. Ajabu kubwa ni pale mtu anapohangaika na kuweka ushahidi lakini post msululu baada ya huo ushahidi zinapingana na vigezo vilivyopo kwenye ushahidi.Ndugu mbona una roho ya kwanini hivyo aisee? yaani unatumia nguvu kubwa kupotosha wenzio why? kama hujui si unyamaze tu kwani sh.ngapi? Ukweli ni kuwa E ni principal pass ambayo ni 1 na kinachotakiwa ni point 4 kwenye masomo 2 kwa hiyo mwenye CE ana 3+1
Hata mwaka jana wamedahiliwa wengi tu tena vyuo mahiri kabisa kwa matokeo ya CE, acha kupotosha bwana kama we yalikushinda pambana na hali yako acha kuwakatisha tamaa wenzio
Si kweli mkuu kigezo kikuu sio DD bali ni kupata point NNE (4) za TCU ambazo zinahitaji ufaulu wa chini wa DD au CE kutoka kwenye masomo MAWILI. Tembelea admission guide ya TCU 2019/2020.Mkuu nadhan hujaelew vzr kigezo kikuu ni DD
Sasa mkuu nilichobisha ni kipi tofauti na guide book inavyosema kwamba D =2 (D+ D =4Ila we jamaa ni mbishi
Hivi umesoma tcu guide book kweli ngoja nkuwekee picha na ukitaka tcu guide book ya mwaka huu ntakupatia View attachment 1154732
na vipi kuhusu AFF(5+0=5)Si kweli mkuu kigezo kikuu sio DD bali ni kupata point NNE (4) za TCU ambazo zinahitaji ufaulu wa chini wa DD au CE kutoka kwenye masomo MAWILI. Tembelea admission guide ya TCU 2019/2020.
Swali zuri!!na vipi kuhusu AFF(5+0=5)
Principal pass kutoka masomo mawili,AFF ni somo moja hapona vipi kuhusu AFF(5+0=5)
Uongo AEE=5+1+1=7Hupati yani pamoja na kufikisha cut points ya 4.0 bado unakosa sifa za principal pass mbili ambazo ni DD yani hata uwe na AEE huendi chuo kwa sababu una cut points lkn principal pass hazijatimia
Uongo soma tena guide book ya TCUE kuwa principal hiyo ni kitambo imebaki zilipendwa!!!! hakunaga principal ya E zama hizi D ndio principal pass so ili upate chuo atleast huwe na Hzo D kuanzia 2 sanuka mzee ndio ukweli huo hata km mchungu!!!
Anaenda chuo ana point nne hapo,kikubwa ana minimum admission requirements so asichague kozi yenye ushindani ili apate chuoMdogo wangu ana matokeo haya anaweza kwenda chuo kikuu naomba maoni na ushauri wenu wapendwa!
GS F
History F
Geography E
Kiswahili ,C
Uongo either hujafika chuo ama mgumu kuelewa,principal passes ni A,B,C,D na E zamani kabla ya 2014,ilikua minimum principal pass 2 yaani,EEKuna watu wanampotosha huyu ndugu, tena nakuomba kama huja apply mkopo acha kabisa usiliwe hiyo hela ya application fee. Iko hivi kwa matokeo hayo HUPATI chuo..
Unatapaswa kuwa na D mbili ambazo ndizo principal pass. Chuo HUPATI ndugu angalia mishe zingine
Unapata bila wasi,pitia tena guide book vizuri.......C+E=3+1=4Jaman education napata chuo kikuu nina C,E,S
Acha kuwa mpumbavu mkuu,mpumbavu huwa hatafuti maarifaMm nina three ya 14, GS E, HISTORY E, KISWAHIL C, GEOGRAPHY S naambiwa hapa na wadau sina sifa za kwenda chuo kwani natakiwa niwe na principal mbili za ufaulu na principal za ufaulu ni kuanzia D na si E kwa hiyo nirudie tu paper mwakani nitafte angalau D moja tu
Weka references ya uongo uliouweka hapaHupati yani pamoja na kufikisha cut points ya 4.0 bado unakosa sifa za principal pass mbili ambazo ni DD yani hata uwe na AEE huendi chuo kwa sababu una cut points lkn principal pass hazijatimia
Huu ni upumbavu.Sawa mkuu lakin kusoma degree cuts point ya mwisho kabisa ni DD na vinginevyo hakuna anayechukua degree saut, mzumbe, duce, muce, udsm, sjut mwenye AE, BE nk. Nb usitake kutulisha matango pori wewe hao wadogo zako labda uliwapeka UGANDA sio Tanzania hii
Nadhani guide book ilikua haijatoka bado,maana imetoka 13 July 2019.Mkuu hapo chuo upati kwa vigezo vya sasa unatakiwa uwe na cut-0ff point ya 4 yenye principal atleast 2 mfano huwe na D mbili ktk masomo yako yaani licha kuwa na hiyo cut-off point 4 kwa kufauru somo moja vizuri km unaprincipal mbili hupati hata km ingekuwa AEE.
Huyu hapati chuo kikuu kusomea shahada.Kwa hiyo na dogo langu hapati chuo, yeye kapata Geography D, Math S, Economics E
Unasoma hata UDSM,inategemea na ushindani wa kozi husika,CES=3+1+0.5=4.5Daaah mm nina CES hata open siwezi kusoma degree jamani