PLOII
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,098
- 801
Habari Wana Sports,
Kiukweli mwaka huu Arsenal imefanya sajili Bora sana ingizo la striker Victor ndani ya Chama letu inatupa confidence ya kusepa na makombe mwaka huu.
Imagine Victor yupo pale mbele left Kuna TEMINADO SAKA right MADUEKE.
Declan Rice anakichafua Dimba la chini na juu pale Martin Odegaard.
Bila kusahau Saliba na Gabriel centre Back za hatari. Kwenye benchi Kuna Kiwior, Do Santos Martinelli, Reiss, Trossard n.k
Hapa kiukweli Sina shaka na Ubingwa na impact ya usajili inaonekana. Tupo juu pale na sioni Timu ya kutusumbua ndani ya Ulaya.
Shida ipo kwa Simba sijaona striker wa kufanya mavitu vitu Ili mwaka huu tupate raha .
Kuna mtu atasema league haijaanza mbona maneno mengi majibu yake angalia kwenye sajili. Nani kasajiliwa mwenye uwezo karibia na Mpanzu?
nani zaidi ya Ahoua?
nani zaidi ya Mukwala?
nani kama Tshabalala ambaye hayupo kwetu tena?
Kiukweli sijaona middle ya maana , sioni passer kama Chama au dribbler kama Miquissoni. Wachezaji walioletwa labda kocha aimbe nao wawe Bora kwa Baadae ila viwango vyao ni vya kawaida.
Tusipokuwa makini mwaka huu wazee wa kuweka mwiko nyuma watapita Tena na sisi honestly Kila shabiki amechoka na uonevu huu.
Kiukweli MO kwa sababu alishawahi kuwa Bungeni zile siasa za kupamba with emptiness anazileta kwenye field inayohitaji Uhalisia.
"Very painful"