Māngungu Mission was the second mission station established in New Zealand by the Wesleyan Missionary Society. Located near Horeke, in the Hokianga Harbour, it was founded in 1828 by the missionaries John Hobbs and James Stack after the first WMS mission station in the country had been sacked the previous year. Māngungu Mission was abandoned in 1855 when Hobbs, the sole missionary at the site, relocated to Auckland. The residence that Hobbs built and lived in at the mission has been preserved by Heritage New Zealand and is now a museum.
Mangungu inaivuruga Simba, anatumia busara kuongoza badala ya kuongoza kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Tabia hii inampatia shida na lawama dhidi ya upande wa mwekezaji na chawa wake.
Mangungu anachelewesha ukamilishaji wa mchakato wa mabadiliko Simba, hafai.
Wanachama na Wapenzi wa Simba huyo MANGUNGU ni pandikizi la Yanga msipomtoa mtaendelea kufungwa mpaka mkimbie nchi.
Mzee matendo yake yanajieleza wazi kabisa kuwa siyo simba damu. Mangungu kachomekwa awe mwwnyekiti wa Simba ili alinde maslahi ya Yanga. Kuna mchezo mchsfu ulipangwa hadi na...
Mara baada ya kupata wasaha wakumsikiliza mara kadhaa, nimejiridhisha kuwa ndugu zetu wa Simba wana kila sababu ya kuhakikisha anabaki madarakani ili kuimarisha timu yao.
Sioni kiongozi wakumzidi pale Simba, huyu anaweza kuongoza hata taasisi kubwa na ya heshima kama Yanga au Ikulu.
Hongereni...
Sisi kama wana Dar es Salaam Young Africans, tuna unga hoja za Mangungu akiwa kama kiongozi halali wa Simba na tena maamuzi yake yaheshimiwe na wanachama pamoja na viongozi wote wa Simba..
Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba imefikia uamuzi wa kusimamisha kwa muda masuala na matukio yote yaliyokuwa yakiendelea kuhusiana na Baraza la Wadhamini la klabu hiyo, ili kutoa fursa kwa uongozi kuangazia maandalizi ya msimu mpya wa mashindano.
Uamuzi huo umefikiwa katika kikao cha Bodi...
Wanachama wa Simba baada ya kubamizwa kwa miaka 3 mfululizo na Yanga ya Yusuph Manji walimkubali Mo Dewji kama mdhamini wa Simba kwa mihemko bila kujiuliza sana. Baada ya Simba ya Mo kuibamiza Yanga kwa miaka 4 mfululizo walitengeneza Katiba ya Simba inayomzunguuka mo zaidi kuliko timu ya Simba...
Kwa sisi wazoefu wa football ya nchi hii tunajua kuwa, hizi timu mahasimu wawili simba na yanga zinahitaji kuwa na viongozi katili kweli kweli.
Jiulize kwanini mahasimu wetu yanga linapokuja suala la mangungu wanamtetea kweli kweli? Jibu ni hili, dhaifu rahisi kuingilika. Jamaa ni mbobevu...
“Mimi ndiye Mwenyekiti wa Simba Sc kwa kuchaguliwa na wanaofanya mabadiliko ni Wanachama wa Simba Sc na yapo matakwa kisheria yanayowalazimu kufanya hayo mabadiliko.
“Mkutano wa dharura una utaratibu wake wa kuitishwa, nilipokea barua kutoka Serikalini na nilivyopokea niliiwasilisha kwa Wajumbe...
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Mangungu; "Kwa mujibu wa Katiba anaeitisha Mkutano ni M/Kiti wa Klabu, Halafu Bodi tayari walishajadiliana na upande wa MO Dewji ulipendekeza majina yake ambayo yapo kwenye orodha iliyotajwa leo."
"Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati...
Ila huyu mzee ni mshamba sana, hajui anachokizungumza, kweli pale Simba viongozi wao ni makopo matupu kabisa.
Peleka ushaidi sasa kwenye mamlaka acha kuropoka
==========
“Kuna watu wameahidiwa nyumba, wameahidiwa kujengewa maduka.” Kauli ya Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu
Baada ya kukosa ubingwa kwa mara ya tano mfululizo, Murtaza Mangungu, Mwenyekiti wa Simba SC amesema; "Kukiwa na mazingira ya kiushindani na timu zote 16 zinazoshiriki Ligi Kuu zikitendewa kwa usawa, na kukiwa na mashindano ya haki, naamini bingwa anaweza akapatikana vizuri."
Bila shaka Wanalunyasi mtakuwa mnatamani kupata kiongozi kijana ambaye ana maoni makubwa juu ya klabu yenu kama ambavyo Yanga wamewatesa misimu hii minne mfululizo baada ya Engineer Hersi Said kuchukua kijiti cha Rais wa Klabu baada ya Mshindo Msolla.
Mnahitaji uongozi wenye maono, uwezo wa...
Yanayoendelea kuhusiana na Mangungu ni kuvunjiwa heshima yake
Kawaida hali kama hii ikishatokea basi njia sahihi ni kujiuzulu kwasababu kuendelea kuongoza matokeo yake ni kuzidi kuvunjiwa heshima
Heshima ni jambo la msingi sana pasipo heshima hakuna uwezekano wa kuongoza watu
Wanaomvunjia...
Hongera sana mwananchi, Jasusi la ukweli, hakika unaifanya kazi yako kwa ufanisi ulio tukuka. Hongera sana mzee Mangungu, hongera waliomfanyia scouting na kumsajili pale Simba.
Kwa mujibu wa katiba ya Simba viongozi wote wa kuchaguliwa wanafika ukomo mwezi huu mwishoni.
Hadi sasa wanasimba hatuoni dalili yoyote ya uchaguzi tukimaanisha hakuna kamati iliyotangazwa kwa mujibu wa katiba kuendesha zoezi hilo kuanzia hatua za awali ambazo ni kutangazwa tarehe ya uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.