Kuzidi kuchelewa kwa Dreva wa Tundu Lissu kuitikia wito wa RPC Muroto unaleta ukakasi!!!

Wewe unajifanya polisi!!! utajipendekeza sana wajinga na wapumbavu ndiyo watakuunga mkono ujinga wako huu
Dreva mrudisheni Dodoma Tafadhali anahitajika sio Mimi ni wito wa RPC Muroto ndio tunakumbusha tu.
 
Ni siku kadhaa Sasa toka tangazo la RPC Muroto atoe wito kwa Dreva wa Tundu Lissu Ndugu Simon kuripoti Polisi kwa mahojiano kufuatia shambulio na watu wasiojulikana kwa Mbunge Tundu Lissu tarehe 7 September huko Dodoma saa saba mchana maeneo ya Area D.

Toka tangazo litoke Dreva huyo yuko Nairobi kwa matibabu ya kisaikolojia kufuatia tukio hilo la kuogofya.

Ukimwa wa kutorudi nyumbani na kutoripoti Polisi unaleta ukakasi Katika duru za kichambuzi kwamba ni kweli tu anahofia usalama wake au Kuna jambo lingine nyuma ya pazia?

Wengi wanajiuliza kwanini aliweza kutoa mzima yeye na kumwacha Tundu Lissu akimiminiwa Risasi?

Na Katika Maelezo yake yanayosambaa kupitia Mwanahalisi dreva huyo anasema aliiona silaha aina ya SMG ndani ya hiyo gari mtu mmoja mhalifu alipofungua milango na kushuka!!!
Si uende wewe kuhojiwa kwa niaba yke mana unawashwawashwa sana na dereva wa lissu
 
Dreva ni first wengine watafuata...kwanini anafichwa na Mbowe huko Kenya. Kama psychotherapy hata tz ipo.Taarifa zake zina utata.

Taarifa zipi mkuu? kwann wewe pia usiwe first suspect kwa kua na taarifa za lissu zenye utata??
 
Dreva aliiona kabisa SMG ndani ya gari na gari alishaishuku toka wanatoka Bungeni
Moja, kwanini hakutoa gari pale?

Pili,Kwanini alimuacha Tundu Lissu ndani ya gari yeye akatoka nje?

Tatu,Kwanini aliweka milango wa Tundu Lissu kwenye target kwa wahalifu?
 
Very right
Hata wakati picha ya gari ya Tundu Lissu inapigwa baada ya tukio hiyo gari Haipo...sijui ndiyo ilishaondoka.

Nina uhakika dreva knows something behind this tragedy
Lissu mwenyewe atakuja kutuambia nn kilitokea.. so tuliza bolu.
 
wanataka aje wammade sindio ili wapoteze ushahidi mwingine.. nyie fanyeni kazi acheni blabla kama dereva angekufa mngefanyaje ?
 
Kwani dreva Ni mpelelezi kwamba amekwamisha uchunguzi?dreva umekuwa wimbo?mfateni alipo!
 
Ni siku kadhaa Sasa toka tangazo la RPC Muroto atoe wito kwa Dreva wa Tundu Lissu Ndugu Simon kuripoti Polisi kwa mahojiano kufuatia shambulio na watu wasiojulikana kwa Mbunge Tundu Lissu tarehe 7 September huko Dodoma saa saba mchana maeneo ya Area D.

Toka tangazo litoke Dreva huyo yuko Nairobi kwa matibabu ya kisaikolojia kufuatia tukio hilo la kuogofya.

Ukimwa wa kutorudi nyumbani na kutoripoti Polisi unaleta ukakasi Katika duru za kichambuzi kwamba ni kweli tu anahofia usalama wake au Kuna jambo lingine nyuma ya pazia?

Wengi wanajiuliza kwanini aliweza kutoa mzima yeye na kumwacha Tundu Lissu akimiminiwa Risasi?

Na Katika Maelezo yake yanayosambaa kupitia Mwanahalisi dreva huyo anasema aliiona silaha aina ya SMG ndani ya hiyo gari mtu mmoja mhalifu alipofungua milango na kushuka!!!
Usiwe mbumbumbu -muulize huyo RPC kwanini hawajaenda Nairobi kumhoji huyo dereva? Nani alikudanganya kwamba kazi ya polisi ni kusubiri watu vituoni? Polisi tunawapa fedha kupitia kodi zetu kwa ajili ya kufanya hizo kazi. Waulize polisi ni lini wamemtumia nauli na fedha za kujikimu ili aje Dodoma?
 
Wanajua kilichotokea ndio maana. Mtu amepanda chat hivyo toka 55% hadi 80% ndani ya chama. Sio mchezo. Kwenye chama wanajua
 
Ni siku kadhaa Sasa toka tangazo la RPC Muroto atoe wito kwa Dreva wa Tundu Lissu Ndugu Simon kuripoti Polisi kwa mahojiano kufuatia shambulio na watu wasiojulikana kwa Mbunge Tundu Lissu tarehe 7 September huko Dodoma saa saba mchana maeneo ya Area D.

Toka tangazo litoke Dreva huyo yuko Nairobi kwa matibabu ya kisaikolojia kufuatia tukio hilo la kuogofya.

Ukimwa wa kutorudi nyumbani na kutoripoti Polisi unaleta ukakasi Katika duru za kichambuzi kwamba ni kweli tu anahofia usalama wake au Kuna jambo lingine nyuma ya pazia?

Wengi wanajiuliza kwanini aliweza kutoa mzima yeye na kumwacha Tundu Lissu akimiminiwa Risasi?

Na Katika Maelezo yake yanayosambaa kupitia Mwanahalisi dreva huyo anasema aliiona silaha aina ya SMG ndani ya hiyo gari mtu mmoja mhalifu alipofungua milango na kushuka!!!
Kisebu sebu na kiroho papo kinakutesa. Lissu anakuhusu nini? mbona aliposema anafuatiliwa na watu hamkutaka watu hao wachunguzwe? Leo mnataka kumtwika mzigo dereva wa Lissu na kukwepesha hoja ya kuwatafuta wahalifu wenyewe. Acheni kundika upuuzi nyie mashetani
 
Acheni kuandika upuuzi nyie mashetani.
 
Usiwe mbumbumbu -muulize huyo RPC kwanini hawajaenda Nairobi kumhoji huyo dereva? Nani alikudanganya kwamba kazi ya polisi ni kusubiri watu vituoni? Polisi tunawapa fedha kupitia kodi zetu kwa ajili ya kufanya hizo kazi. Waulize polisi ni lini wamemtumia nauli na fedha za kujikimu ili aje Dodoma?
jinsi alivyokwenda Nairobi ndiyo atakavyo rudi Dodoma
 
Ni siku kadhaa Sasa toka tangazo la RPC Muroto atoe wito kwa Dreva wa Tundu Lissu Ndugu Simon kuripoti Polisi kwa mahojiano kufuatia shambulio na watu wasiojulikana kwa Mbunge Tundu Lissu tarehe 7 September huko Dodoma saa saba mchana maeneo ya Area D.

Toka tangazo litoke Dreva huyo yuko Nairobi kwa matibabu ya kisaikolojia kufuatia tukio hilo la kuogofya.

Ukimwa wa kutorudi nyumbani na kutoripoti Polisi unaleta ukakasi Katika duru za kichambuzi kwamba ni kweli tu anahofia usalama wake au Kuna jambo lingine nyuma ya pazia?

Wengi wanajiuliza kwanini aliweza kutoa mzima yeye na kumwacha Tundu Lissu akimiminiwa Risasi?

Na Katika Maelezo yake yanayosambaa kupitia Mwanahalisi dreva huyo anasema aliiona silaha aina ya SMG ndani ya hiyo gari mtu mmoja mhalifu alipofungua milango na kushuka!!!
kwanini wao hawajatumi Interpol kumleta....au wao ndo wanagopa kumleta?
 
Back
Top Bottom