Kuzidi kuchelewa kwa Dreva wa Tundu Lissu kuitikia wito wa RPC Muroto unaleta ukakasi!!!

Waanze na Walinzi wa Getini kwanza then Walinzi wa Nyumba za Viongozi mabosi ambao wanaulinzi ambao wanalipwa na Kodi zetu then Dereva xaxa
 
chadema acheni mapovu bali mleteni atimize wajibu wa kisheria na kikatiba.
yeye ni shuhuda namba moja acheni porojo na matusi ya kibangibangi kwenye point za msingi

huku mnitaka serikali kufanya uchunguzi na huku mnawaficha mashahidi.....tuwaelewe vipi?
Anzeni na ile gari aliyowaambia tundu lissu kuwa inamfatilia na number za gari alizitaja.. Mkimaliza hapo fatilieni kule nyumbani kwa lissu muulize wale walinzi waliokuwa wanalinda nyumba za wabunge alafu mkimaliza ndiyo mengine yafate na mje na majibu ya izo point mbili kwanza..ila msitupotezee muda kwa porojo
 
Ni siku kadhaa Sasa toka tangazo la RPC Muroto atoe wito kwa Dreva wa Tundu Lissu Ndugu Simon kuripoti Polisi kwa mahojiano kufuatia shambulio na watu wasiojulikana kwa Mbunge Tundu Lissu tarehe 7 September huko Dodoma saa saba mchana maeneo ya Area D.

Toka tangazo litoke Dreva huyo yuko Nairobi kwa matibabu ya kisaikolojia kufuatia tukio hilo la kuogofya.

Ukimwa wa kutorudi nyumbani na kutoripoti Polisi unaleta ukakasi Katika duru za kichambuzi kwamba ni kweli tu anahofia usalama wake au Kuna jambo lingine nyuma ya pazia?

Wengi wanajiuliza kwanini aliweza kutoa mzima yeye na kumwacha Tundu Lissu akimiminiwa Risasi?

Na Katika Maelezo yake yanayosambaa kupitia Mwanahalisi dreva huyo anasema aliiona silaha aina ya SMG ndani ya hiyo gari mtu mmoja mhalifu alipofungua milango na kushuka!!!
Waache unafiki hao Policcm. Dereva alishataja namba ya gari T 921 AKN.

Policcm watuambie hilo gari ni mali ya nani. Waache usanii.
Hizi sarakasi na maigizo yao yanafanya raia wahisi wanahusika ktk assassination attempt ya Tundu.
 
Namba hiyo Haipo kwenye system
 
Yani wewe unawashwawashwa kweli
 
Dereva acha akaidi agizo la police, nahisi siku akikanyaga ardhi ya TZ atadakwa maana ameshindwa kwenda kuhojiwa bila shurti...taarifa anazozitoa sio rasmi hivyo ana wajibu wa kutoa taarifa mahali husika na sio hivyo anavyofanya. Mda mwingine tutaendelea kulaumu jeshi la police kumbe sisi ndio hatuko sahihi....anaogopa nn??? Km ni wakufa kwa njia hiyo basi yatampata tu, lakini sio km afanyavyo sasa...atakosa wa kumtetea
 
Familia ya Lissu imemclear na any foul play maana wanamjua vizuri. Actually wamempa credit kuwa kama siyo yeye leo tungeongea mengine kuhusu Antipas.
 
Mimi niko tofauti na hayo mawazo ya kumhisi dereva. Nahisi maisha yake yako hatarini maana aliwaona wahusika vizuri. Wasingependa wajulikane. Actually CDM wamefanya la maana kum"wisk" away huyo dereva. They might kill him ili kuondoa ushahidi.
 
Familia ya Lissu sio Mahakama ina clear watu
 
Mimi niko tofauti na hayo mawazo ya kumhisi dereva. Nahisi maisha yake yako hatarini maana aliwaona wahusika vizuri. Wasingependa wajulikane. Actually CDM wamefanya la maana kum"wisk" away huyo dereva. They might kill him ili kuondoa ushahidi.
Okay km ni hivyo basi sahihi, Ila km ni tofauti basi inshallah pia!!.
 
Wewe ni Mjinga na Mpumbavu Unatafuta kiki kutokana na Matatizo aliyoyapata Tundu Lissu.Usitarajie utafaidika na kufurahia kupigwa risasi Tundu Lissu!!!Huo ni ujinga na Upumbavu kushadadia tukio hilo kila kukicha unaanzisha uzi kuhusu Tundu Lissu je wewe ni Mwanafamilia???Take your time bro!!!.
Kiukweli hili tukio la kupigwa risasi Lissu limemgusa kila Mtanzania mpenda amani. Hivyo kila mtu ana haki ya kuhoji katika angle zote ili mradi tu ukweli ujulikane. Tatizo watu tumejitune akili zetu kuamini maoni au hisia za upande mmoja tu. Mtu akihoji tofauti anaonekana hana nia njema na Lissu. Hii haitatusaidia kupata ukweli wa jambo hili. Hata Lissu mwenyewe nina imani hajui kilichoondelea zaidi ya kuwawaza wapinzani wake wa kisiasa ndo watakua wahusika. Ni vyema tukawaachia wataalamu Wanaondelea na kazi ya uchunguzi waje watupe majibu then ndo tuanze kuhoji.
 
Ni siku kadhaa Sasa toka tangazo la RPC Muroto atoe wito kwa Dreva wa Tundu Lissu Ndugu Simon kuripoti Polisi kwa mahojiano kufuatia shambulio na watu wasiojulikana kwa Mbunge Tundu Lissu tarehe 7 September huko Dodoma saa saba mchana maeneo ya Area D.

Toka tangazo litoke Dreva huyo yuko Nairobi kwa matibabu ya kisaikolojia kufuatia tukio hilo la kuogofya.

Ukimwa wa kutorudi nyumbani na kutoripoti Polisi unaleta ukakasi Katika duru za kichambuzi kwamba ni kweli tu anahofia usalama wake au Kuna jambo lingine nyuma ya pazia?

Wengi wanajiuliza kwanini aliweza kutoa mzima yeye na kumwacha Tundu Lissu akimiminiwa Risasi?

Na Katika Maelezo yake yanayosambaa kupitia Mwanahalisi dreva huyo anasema aliiona silaha aina ya SMG ndani ya hiyo gari mtu mmoja mhalifu alipofungua milango na kushuka!!![/

Hivi polisi wamesitisha upelelezi hadi wampate dereva?

Vv
 
Waache unafiki hao Policcm. Dereva alishataja namba ya gari T 921 AKN.

Policcm watuambie hilo gari ni mali ya nani. Waache usanii.
Hizi sarakasi na maigizo yao yanafanya raia wahisi wanahusika ktk assassination attempt ya Tundu.
Hayo maelezo ya hilo gari kayatolea wp? Maana polisi ndiyo sehemu sahihi ya kutoa taarifa za kihalifu kwa mujibu wa sheria zetu na siyo mitaani. Na kama kweli amelitaja hilo gari, polisi wakihitaji maelezo ya ziada kuhusu hiyo kauli yake ili wafanye uchunguzi wao vizuri ni nani wa kutoa hayo maelezo kama chanzo cha taarifa kama siyo huyo Dereva.
 
Wewe ni Mjinga na Mpumbavu Unatafuta kiki kutokana na Matatizo aliyoyapata Tundu Lissu.Usitarajie utafaidika na kufurahia kupigwa risasi Tundu Lissu!!!Huo ni ujinga na Upumbavu kushadadia tukio hilo kila kukicha unaanzisha uzi kuhusu Tundu Lissu je wewe ni Mwanafamilia???Take your time bro!!!.
Arudi aje aelezee vizuri huku! Kwanza hata majina ya dereva yalikuwa mara hili mara lile. Kuna kitu kwa nini ake huko na Mh. Mbowe 24 hours /7 days aje huku aelezee vizuri kuna jambo!
 
Inabidi watu kama mtoa mada wawepo kwenye jamii kupata balance. Hatuwez kuwa na same level of thinking, huyo mtoa mada pengine furaha yake ni kuanzisha nyuzi zinazohusu ishu ya Great Lissu, au la yuko kazini. Dereva atarudi na Lissu pia atarudi, Mungu ni mwema sana.
Dereva aje ajibu maswali mengi kichwani. Et niliwaona wananifuata naye anaenda eti nyumbani kwa ninin asirudi Bungeni kwenye usalama zaidi? Maana ningesema polisi yangeanza maneno watu wanakufuata wewe badala ya kupeleka kwenye usalama unaenda nyumbani ambako mtakuwa peke yenu wawili tu! Kuna jambo jamani hebu wanacadema hebu fungukeni akili jamani yaani tangu zilivyoshikiliwa wakati wa uchaguzi bado tu!
 
Back
Top Bottom