Kuzidi kuchelewa kwa Dreva wa Tundu Lissu kuitikia wito wa RPC Muroto unaleta ukakasi!!!

Na wewe unamfurahisha nani?
Nakusaidia wewe kuelewa na uache kumfurahisha RPC wa Dodoma. Kwamba ni wajibu wa polisi kumfuata dereva wa Lissu kwa ajili ya kumhoji kokote aliko na sio yeye kuwafuata polisi! Polisi hawapaswi kuelekeza lawama kwa dereva wala Chadema katika suala hili!
 
kusema hivyo ni kuto tumia aikili
1.Vipi kama angekuwa amekufa na yeye ina maana upelelezi usinge endelea,kwa hiyo dreva wa Lissu ndio kitu pekee cha kuanza nacho katika upelelezi
2.Lissu alishatoa ushirikiano kwa polisi hata kabla hajafanyiwa huo unyama jee polisi wamefikia wapi ktk hilo
3.Mmeshaambiwa hayuko sawa kisaikolojia,atatoz vipi ushirikiano kwa polisi mtu ambaye kisaikolojia hayuko sawa,si wangesubiri akae sawa
 
Nakusaidia wewe kuelewa na uache kumfurahisha RPC wa Dodoma. Kwamba ni wajibu wa polisi kumfuata dereva wa Lissu kwa ajili ya kumhoji kokote aliko na sio yeye kuwafuata polisi! Polisi hawapaswi kuelekeza lawama kwa dereva wala Chadema katika suala hili!
Ila Chadema ndiyo wana haki ya kuilaumu Serikali kuwa ndiyo watekelezaji wa tukio hilo siyo?

Dreva hajaambiwa yeye ni mtuhumiwa ila amepewa wito wa kuripoti Polisi kwa mahojiano tu anaogopa nini?

Na kwanini Mbowe anazuia dreva asiende Polisi?
 
Ni siku kadhaa Sasa toka tangazo la RPC Muroto atoe wito kwa Dreva wa Tundu Lissu Ndugu Simon kuripoti Polisi kwa mahojiano kufuatia shambulio na watu wasiojulikana kwa Mbunge Tundu Lissu tarehe 7 September huko Dodoma saa saba mchana maeneo ya Area D.

Toka tangazo litoke Dreva huyo yuko Nairobi kwa matibabu ya kisaikolojia kufuatia tukio hilo la kuogofya.

Ukimwa wa kutorudi nyumbani na kutoripoti Polisi unaleta ukakasi Katika duru za kichambuzi kwamba ni kweli tu anahofia usalama wake au Kuna jambo lingine nyuma ya pazia?

Wengi wanajiuliza kwanini aliweza kutoa mzima yeye na kumwacha Tundu Lissu akimiminiwa Risasi?

Na Katika Maelezo yake yanayosambaa kupitia Mwanahalisi dreva huyo anasema aliiona silaha aina ya SMG ndani ya hiyo gari mtu mmoja mhalifu alipofungua milango na kushuka!!!
Day one kwanini hawakumuhoji''Kwenye tukio wote walikuwa wauwawe'' Usalama wake ukoje
 
Hilo haijalishi yeye siyo Gaidi wala mhalifu aende mapema tu kuhojiwa au kuchukuliwa Maelezo yake kuhusu tukio.

Shida iko wapi? Huo ni utaratibu wa kawaida tu kwanini anafichwa na yeye hana risasi aliyopigwa?

Lissu na yeye atatoa Maelezo yake tu siku yake hilo liko wazi kwasababu ni mgonjwa inafahamika.
 
Ila Chadema ndiyo wana haki ya kuilaumu Serikali kuwa ndiyo watekelezaji wa tukio hilo siyo?

Dreva hajaambiwa yeye ni mtuhumiwa ila amepewa wito wa kuripoti Polisi kwa mahojiano tu anaogopa nini?

Na kwanini Mbowe anazuia dreva asiende Polisi?
Hebu jifunze kuelewa haya mambo madogo-ni hivi ni kazi ya polisi kukusanya ushahidi kwenye matukio ya jinai. Na wanapokusanya ushahidi wanapaswa kwenda kuchunguza au kuhoji watu kokote waliko, na si kuita tu watu twawafuate ofisini. Kwa issue ya huyo dereva kama kweli polisi wanaona ni mtu muhimu wanapaswa kumfuata huko aliko. Hivi umekaa ukatafakari ni kwanini polisi wanalalama kwenye vyombo vya habari kuhusu huyo dereva wakati wao ndio walipaswa mapema kabisa kuwa wameisha mhoji kwa gharama yoyote ile? Ni kwa sababu wanataka kuimarisha ile ajenda uliyokuja nayo wewe hapa ili jamii waone kuwa Chadema wanamzuia dereva asihojiwe!-ni bahati mbaya michezo hii inafanyika wakati watu wameishaerevuka!
 
Kwanini alimwacha Tundu Lissu kwenye target? Na silaha ya SMG alishaiona ndani ya gari ambayo haina ishara au alama kuwa ni Polisi na alishaishuku? Hata kabla shambulio halijafanyika
Ujinga wako, mlikuwa mnadhani Lissu ni wasport eeh!! Ndio mjue kuwa njia laini kuingia mjengoni.
 
Waende wakamhoji huko,tuna ubalozi wetu Kenya,pale kuna mashushushu kibao,kwanini wasimtafute atoe maelezo take,hii polisi yetu iache kufanya kazi kisiasa,
 
Ni siku kadhaa Sasa toka tangazo la RPC Muroto atoe wito kwa Dreva wa Tundu Lissu Ndugu Simon kuripoti Polisi kwa mahojiano kufuatia shambulio na watu wasiojulikana kwa Mbunge Tundu Lissu tarehe 7 September huko Dodoma saa saba mchana maeneo ya Area D.

Toka tangazo litoke Dreva huyo yuko Nairobi kwa matibabu ya kisaikolojia kufuatia tukio hilo la kuogofya.

Ukimwa wa kutorudi nyumbani na kutoripoti Polisi unaleta ukakasi Katika duru za kichambuzi kwamba ni kweli tu anahofia usalama wake au Kuna jambo lingine nyuma ya pazia?

Wengi wanajiuliza kwanini aliweza kutoa mzima yeye na kumwacha Tundu Lissu akimiminiwa Risasi?

Na Katika Maelezo yake yanayosambaa kupitia Mwanahalisi dreva huyo anasema aliiona silaha aina ya SMG ndani ya hiyo gari mtu mmoja mhalifu alipofungua milango na kushuka!!!
acha kuongo,ni lini rpc alimuhitaji simon?nachokumbukq alimuhitaj dereva adam huenda akawa ni wa nissan ile
 
Kwa hiyo mtu akikimbilia nchi nyingine kama mange kumbe poa tu? Na dereva wa sepuka atachukua uraia wa kenya soon
 
Ni siku kadhaa Sasa toka tangazo la RPC Muroto atoe wito kwa Dreva wa Tundu Lissu Ndugu Simon kuripoti Polisi kwa mahojiano kufuatia shambulio na watu wasiojulikana kwa Mbunge Tundu Lissu tarehe 7 September huko Dodoma saa saba mchana maeneo ya Area D.

Toka tangazo litoke Dreva huyo yuko Nairobi kwa matibabu ya kisaikolojia kufuatia tukio hilo la kuogofya.

Ukimwa wa kutorudi nyumbani na kutoripoti Polisi unaleta ukakasi Katika duru za kichambuzi kwamba ni kweli tu anahofia usalama wake au Kuna jambo lingine nyuma ya pazia?

Wengi wanajiuliza kwanini aliweza kutoa mzima yeye na kumwacha Tundu Lissu akimiminiwa Risasi?

Na Katika Maelezo yake yanayosambaa kupitia Mwanahalisi dreva huyo anasema aliiona silaha aina ya SMG ndani ya hiyo gari mtu mmoja mhalifu alipofungua milango na kushuka!!!
Sasa Dereva mnamhoji nini?
Mnajitekenya then mnacheka wenyewe
 
Wewe ni Mjinga na Mpumbavu Unatafuta kiki kutokana na Matatizo aliyoyapata Tundu Lissu.Usitarajie utafaidika na kufurahia kupigwa risasi Tundu Lissu!!!Huo ni ujinga na Upumbavu kushadadia tukio hilo kila kukicha unaanzisha uzi kuhusu Tundu Lissu je wewe ni Mwanafamilia???Take your time bro!!!.
chadema acheni mapovu bali mleteni atimize wajibu wa kisheria na kikatiba.
yeye ni shuhuda namba moja acheni porojo na matusi ya kibangibangi kwenye point za msingi

huku mnitaka serikali kufanya uchunguzi na huku mnawaficha mashahidi.....tuwaelewe vipi?
 
Back
Top Bottom