Kuzidi kuchelewa kwa Dreva wa Tundu Lissu kuitikia wito wa RPC Muroto unaleta ukakasi!!!

Tramadol sijui ni dose ya kutibu ujuha wako.

Tangu shambulio la Lisu litokee umebaki kuhaha na kuanzisha nyuzi nyingi sana zenye maudhui hayo hayo.

Usiku wa tarehe 7, hukulala ulibandika mabandiko kibao sana.

Ulikereheka, ulisikitishwa, ulijilaumu, ulisononeka, ulijutia kwa kushindwa kufanikisha adhima yenu ya kutoa uhai wa Lisu.

Nini msichokijua mnachokihoji?

Mumeshindwa kukamata hiyo Nissan nyeupe ni Intelijensia gani mnaoijua kama si ya kukamata watu hovyo hata wanaofanya maombi? Eboo!! Hadi maombi mnakataza? Halafu mtu anasema aombewe, hakuna Mungu mjinga na Mpumbavu kama ninyi wapumbavu.

Mlishindwa vipi kumuhoji huyo Dereva siku ya tukio kama kweli munaijua Intelijensia?

Hao walinzi wa Area D mumewahoji? Wametoa majibu gani?

Kwa nini mnakataza uchuguzi huru wa Kimataifa?

Mnajitekenya, mnacheka wenyewe.

Hii damu mliyoimwaga mchana kweupe kwenye makazi ya Viongozi wa Serikali haitowaacha salam Daima!

Kaeni mkijua malipo ni hapa hapa Duniani, fanyeni jinsi mnavyotaka lakini muwe tayari kupokea chochote kitakachotokea.
Embu tusaidie kuzitagg THREADS zote alizoweka za kuhusu Tundulisu, tuzione Maana watu wengi wanaweza wakapata mwanga
 
Back
Top Bottom