Kuzidi kuchelewa kwa Dreva wa Tundu Lissu kuitikia wito wa RPC Muroto unaleta ukakasi!!!

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
Ni siku kadhaa Sasa toka tangazo la RPC Muroto atoe wito kwa Dreva wa Tundu Lissu Ndugu Simon kuripoti Polisi kwa mahojiano kufuatia shambulio na watu wasiojulikana kwa Mbunge Tundu Lissu tarehe 7 September huko Dodoma saa saba mchana maeneo ya Area D.

Toka tangazo litoke Dreva huyo yuko Nairobi kwa matibabu ya kisaikolojia kufuatia tukio hilo la kuogofya.

Ukimwa wa kutorudi nyumbani na kutoripoti Polisi unaleta ukakasi Katika duru za kichambuzi kwamba ni kweli tu anahofia usalama wake au Kuna jambo lingine nyuma ya pazia?

Wengi wanajiuliza kwanini aliweza kutoa mzima yeye na kumwacha Tundu Lissu akimiminiwa Risasi?

Na Katika Maelezo yake yanayosambaa kupitia Mwanahalisi dreva huyo anasema aliiona silaha aina ya SMG ndani ya hiyo gari mtu mmoja mhalifu alipofungua milango na kushuka!!!
 
Wewe ni Mjinga na Mpumbavu Unatafuta kiki kutokana na Matatizo aliyoyapata Tundu Lissu.Usitarajie utafaidika na kufurahia kupigwa risasi Tundu Lissu!!!Huo ni ujinga na Upumbavu kushadadia tukio hilo kila kukicha unaanzisha uzi kuhusu Tundu Lissu je wewe ni Mwanafamilia???Take your time bro!!!.
 
Wewe ni Mjinga na Mpumbavu Unatafuta kiki kutokana na Matatizo aliyoyapata Tundu Lissu.Usitarajia utafaidika na kufurahia kupigwa risasi Tundu Lissu!!!Huo ni ujinga na Upumbavu kushadadia tukio hilo kila kukicha unaanzisha uzi kuhusu Tundu Lissu je wewe ni Mwanafamilia???Take your time bro!!!.
Take your time bro!!!
 
Ni siku kadhaa Sasa toka tangazo la RPC Muroto atoe wito kwa Dreva wa Tundu Lissu Ndugu Simon kuripoti Polisi kwa mahojiano kufuatia shambulio na watu wasiojulikana kwa Mbunge Tundu Lissu tarehe 7 September huko Dodoma saa saba mchana maeneo ya Area D.

Toka tangazo litoke Dreva huyo yuko Nairobi kwa matibabu ya kisaikolojia kufuatia tukio hilo la kuogofya.

Ukimwa wa kutorudi nyumbani na kutoripoti Polisi unaleta ukakasi Katika duru za kichambuzi kwamba ni kweli tu anahofia usalama wake au Kuna jambo lingine nyuma ya pazia?

Wengi wanajiuliza kwanini aliweza kutoa mzima yeye na kumwacha Tundu Lissu akimiminiwa Risasi?

Na Katika Maelezo yake yanayosambaa kupitia Mwanahalisi dreva huyo anasema aliiona silaha aina ya SMG ndani ya hiyo gari mtu mmoja mhalifu alipofungua milango na kushuka!!!

Unafiki ni dhambi,
Dereva aulizwe nini ambacho Polisi hawakijui?
 
Anakula training ya namna ya kujibu..si unaona ameanza to a maelezo kuwa ye alishuka akajificha chini ya gari la pembeni..ila gari pia hajui nani alipark..wakati tunaambiwa ni nyumbani kwa tundu lissu
 
Ukakasi upi??
Kama mnataka mumuhoji ili mpate taarifa sahihi si msubiri atulie awahadithie kwa utulivu??
We unadhani kumiminiwa risasi 30+ ukatoka hai ni jambo dogo??
 
Anakula training ya namna ya kujibu..si unaona ameanza to a maelezo kuwa ye alishuka akajificha chini ya gari la pembeni..ila gari pia hajui nani alipark..wakati tunaambiwa ni nyumbani kwa tundu lissu
Hata wakati picha ya gari ya Tundu Lissu inapigwa baada ya tukio hiyo gari Haipo...sijui ndiyo ilishaondoka.

Nina uhakika dreva knows something behind this tragedy
 
Inabidi watu kama mtoa mada wawepo kwenye jamii kupata balance. Hatuwez kuwa na same level of thinking, huyo mtoa mada pengine furaha yake ni kuanzisha nyuzi zinazohusu ishu ya Great Lissu, au la yuko kazini. Dereva atarudi na Lissu pia atarudi, Mungu ni mwema sana.
 
Kwanini alimwacha Tundu Lissu kwenye target? Na silaha ya SMG alishaiona ndani ya gari ambayo haina ishara au alama kuwa ni Polisi na alishaishuku? Hata kabla shambulio halijafanyika
Swali la ufahamu mpaka sasa ni watu wangapi wameshashikwa kama first suspect kwa tukio hilo? Wale walinzi wa getini kuna yoyote kakamatwa?????
 
Ni siku kadhaa Sasa toka tangazo la RPC Muroto atoe wito kwa Dreva wa Tundu Lissu Ndugu Simon kuripoti Polisi kwa mahojiano kufuatia shambulio na watu wasiojulikana kwa Mbunge Tundu Lissu tarehe 7 September huko Dodoma saa saba mchana maeneo ya Area D.

Toka tangazo litoke Dreva huyo yuko Nairobi kwa matibabu ya kisaikolojia kufuatia tukio hilo la kuogofya.

Ukimwa wa kutorudi nyumbani na kutoripoti Polisi unaleta ukakasi Katika duru za kichambuzi kwamba ni kweli tu anahofia usalama wake au Kuna jambo lingine nyuma ya pazia?

Wengi wanajiuliza kwanini aliweza kutoa mzima yeye na kumwacha Tundu Lissu akimiminiwa Risasi?

Na Katika Maelezo yake yanayosambaa kupitia Mwanahalisi dreva huyo anasema aliiona silaha aina ya SMG ndani ya hiyo gari mtu mmoja mhalifu alipofungua milango na kushuka!!!
Walitaka aende mapema ili wakamtishe asiwaseme hao wanaojiita hawajulikani,kama walivyomfanya Roma Mkatoliki,wanaacha kuwakamata walinzi wa getini,walioruhusu gari la wauaji kuingia na kutoka salama wanahangaika na dereva,mashinji!!Hawa kina Mambopoa intteligensia yao ina walakini,saa nyingine inatia kichefuchefuuuu
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom