Kuzidi kuchelewa kwa Dreva wa Tundu Lissu kuitikia wito wa RPC Muroto unaleta ukakasi!!!

Ni siku kadhaa Sasa toka tangazo la RPC Muroto atoe wito kwa Dreva wa Tundu Lissu Ndugu Simon kuripoti Polisi kwa mahojiano kufuatia shambulio na watu wasiojulikana kwa Mbunge Tundu Lissu tarehe 7 September huko Dodoma saa saba mchana maeneo ya Area D.

Toka tangazo litoke Dreva huyo yuko Nairobi kwa matibabu ya kisaikolojia kufuatia tukio hilo la kuogofya.

Ukimwa wa kutorudi nyumbani na kutoripoti Polisi unaleta ukakasi Katika duru za kichambuzi kwamba ni kweli tu anahofia usalama wake au Kuna jambo lingine nyuma ya pazia?

Wengi wanajiuliza kwanini aliweza kutoa mzima yeye na kumwacha Tundu Lissu akimiminiwa Risasi?

Na Katika Maelezo yake yanayosambaa kupitia Mwanahalisi dreva huyo anasema aliiona silaha aina ya SMG ndani ya hiyo gari mtu mmoja mhalifu alipofungua milango na kushuka!!!
Tramadol sijui ni dose ya kutibu ujuha wako.

Tangu shambulio la Lisu litokee umebaki kuhaha na kuanzisha nyuzi nyingi sana zenye maudhui hayo hayo.

Usiku wa tarehe 7, hukulala ulibandika mabandiko kibao sana.

Ulikereheka, ulisikitishwa, ulijilaumu, ulisononeka, ulijutia kwa kushindwa kufanikisha adhima yenu ya kutoa uhai wa Lisu.

Nini msichokijua mnachokihoji?

Mumeshindwa kukamata hiyo Nissan nyeupe ni Intelijensia gani mnaoijua kama si ya kukamata watu hovyo hata wanaofanya maombi? Eboo!! Hadi maombi mnakataza? Halafu mtu anasema aombewe, hakuna Mungu mjinga na Mpumbavu kama ninyi wapumbavu.

Mlishindwa vipi kumuhoji huyo Dereva siku ya tukio kama kweli munaijua Intelijensia?

Hao walinzi wa Area D mumewahoji? Wametoa majibu gani?

Kwa nini mnakataza uchuguzi huru wa Kimataifa?

Mnajitekenya, mnacheka wenyewe.

Hii damu mliyoimwaga mchana kweupe kwenye makazi ya Viongozi wa Serikali haitowaacha salam Daima!

Kaeni mkijua malipo ni hapa hapa Duniani, fanyeni jinsi mnavyotaka lakini muwe tayari kupokea chochote kitakachotokea.
 
Kuna watu weng sana ambao wanaeza kuwasaidia upelelezi....kuliko ata uyo dereva wa lissu
Anzen na bashiteee
 
Hata wakati picha ya gari ya Tundu Lissu inapigwa baada ya tukio hiyo gari Haipo...sijui ndiyo ilishaondoka.

Nina uhakika dreva knows something behind this tragedy
Kushabikia na kufurahia matatizo ya Tundu Lissu hakutakusaidia chochote!!
 
Kuna watu weng sana ambao wanaeza kuwasaidia upelelezi....kuliko ata uyo dereva wa lissu
Anzen na bashiteee
Dreva ni first wengine watafuata...kwanini anafichwa na Mbowe huko Kenya. Kama psychotherapy hata tz ipo.Taarifa zake zina utata.
 
Ni siku kadhaa Sasa toka tangazo la RPC Muroto atoe wito kwa Dreva wa Tundu Lissu Ndugu Simon kuripoti Polisi kwa mahojiano kufuatia shambulio na watu wasiojulikana kwa Mbunge Tundu Lissu tarehe 7 September huko Dodoma saa saba mchana maeneo ya Area D.

Toka tangazo litoke Dreva huyo yuko Nairobi kwa matibabu ya kisaikolojia kufuatia tukio hilo la kuogofya.

Ukimwa wa kutorudi nyumbani na kutoripoti Polisi unaleta ukakasi Katika duru za kichambuzi kwamba ni kweli tu anahofia usalama wake au Kuna jambo lingine nyuma ya pazia?

Wengi wanajiuliza kwanini aliweza kutoa mzima yeye na kumwacha Tundu Lissu akimiminiwa Risasi?

Na Katika Maelezo yake yanayosambaa kupitia Mwanahalisi dreva huyo anasema aliiona silaha aina ya SMG ndani ya hiyo gari mtu mmoja mhalifu alipofungua milango na kushuka!!!
Mbona nyinyi wahusika mnajitekenya sana leo dereva mmeona ni muhm sana tena kwa haraka sana kuliko gari ambayo mlipewa taarifa na Mh tundu lisu kuwa inamfuatilia na namba ya gati pia aina lkn mkaona ni upuuzi leo macho yamewatoka misili ya mjusi kabanwa na mrango upuuzi eti ukakasi huna aibu.
 
Ukakasi unao wewe wala hakuna ukakasi hapo.
Wewe ulijua mngemuua na risasi zenu nyingi mmechemsha.
 
Hata wakati picha ya gari ya Tundu Lissu inapigwa baada ya tukio hiyo gari Haipo...sijui ndiyo ilishaondoka.

Nina uhakika dreva knows something behind this tragedy
Yanakuhusu nini ? Kama unamtaka mfate Nairo. Na akikusimulia utafaidi nini, what next. Inakuongezea ugali nyumbani ?
Upumbavu kila siku dereva , dereva, dereva , dereva. Then ??? Hana imani na nyie. Hataki sasa.
Kazi ya dereva kuendesha gari kwa maelekezo ya boss, mambo mengine haya mhusu wala hayakuhusu.
 
Tramadol sijui ni dose ya kutibu ujuha wako.

Tangu shambulio la Lisu litokee umebaki kuhaha na kuanzisha nyuzi nyingi sana zenye maudhui hayo hayo.

Usiku wa tarehe 7, hukulala ulibandika mabandiko kibao sana.

Ulikereheka, ulisikitishwa, ulijilaumu, ulisononeka, ulijutia kwa kushindwa kufanikisha adhima yenu ya kutoa uhai wa Lisu.

Nini msichokijua mnachokihoji?

Mumeshindwa kukamata hiyo Nissan nyeupe ni Intelijensia gani mnaoijua kama si ya kukamata watu hovyo hata wanaofanya maombi? Eboo!! Hadi maombi mnakataza? Halafu mtu anasema aombewe, hakuna Mungu mjinga na Mpumbavu kama ninyi wapumbavu.

Mlishindwa vipi kumuhoji huyo Dereva siku ya tukio kama kweli munaijua Intelijensia?

Hao walinzi wa Area D mumewahoji? Wametoa majibu gani?

Kwa nini mnakataza uchuguzi huru wa Kimataifa?

Mnajitekenya, mnacheka wenyewe.

Hii damu mliyoimwaga mchana kweupe kwenye makazi ya Viongozi wa Serikali haitowaacha salam Daima!

Kaeni mkijua malipo ni hapa hapa Duniani, fanyeni jinsi mnavyotaka lakini muwe tayari kupokea chochote kitakachotokea.
Nanda kajumuike na wasomaji wa Albadili.
 
Yanakuhusu nini ? Kama unamtaka mfate Nairo. Na akikusimulia utafaidi nini, what next. Inakuongezea ugali nyumbani ?
Upumbavu kila siku dereva , dereva, dereva , dereva. Then ??? Hana imani na nyie. Hataki sasa.
Kazi ya dereva kuendesha gari kwa maelekezo ya boss, mambo mengine haya mhusu wala hayakuhusu.
Atatiwa nguvuni tu labda akimbilie uhamishoni baada ya uharamia huu
 
Mbona nyinyi wahusika mnajitekenya sana leo dereva mmeona ni muhm sana tena kwa haraka sana kuliko gari ambayo mlipewa taarifa na Mh tundu lisu kuwa inamfuatilia na namba ya gati pia aina lkn mkaona ni upuuzi leo macho yamewatoka misili ya mjusi kabanwa na mrango upuuzi eti ukakasi huna aibu.
Dreva lazima apatikane tu popote alipo arudi Dodoma haraka.
 
Inabidi watu kama mtoa mada wawepo kwenye jamii kupata balance. Hatuwez kuwa na same level of thinking, huyo mtoa mada pengine furaha yake ni kuanzisha nyuzi zinazohusu ishu ya Great Lissu, au la yuko kazini. Dereva atarudi na Lissu pia atarudi, Mungu ni mwema sana.

Haya ni maandiko ya mtu aliyejawa na hekima sana......

Kifupi jamii zina watu wa aina nyingi na mawazo mengi......

Kama ambavyo wameumizwa na tukio hilo la Lissu pia kuna watu wamefurahia tukio hilo......

That's Mother Nature
 
Nonsense mnataka amwache mgonjwa? Mmeshindwa kumuua mnamtaka dereva wa nini? Mara mzuie maombi mara muwakamate waombaji. Hamuwezi kutambua uko mkono wa Mungu? Tunaomba tu hata rukia vitandani tutaomba tu
 
Back
Top Bottom