Chantaburi
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 749
- 194
hivi umemuelewa huyu ?! Watu bana !Mkuu siyo jambo la busara kuileta hii taarifa hapa publick!nafikiri ulitakiwa kufanyia kazi hilo jambo na kupata ufumbuzi,matapeli wamejaa kila kona lakini haituzuii kufanya au kufatilia kwa kutumia uwezo wetu tulio nao na msaada wa watu walio karibu na sisi,tusikurupuke kwa mambo kama haya,kutulia ni jambo la muhimu sana bana,ningekuwa wewe ningelifanyia kazi kama nashindwa ningetafuta watu walio karibu na mimi wanisaidie,tujifunze kutulia,kumbuka kila siku hapa wakenya wanasema sisi bado sana,ni kwenye mambo kama hayo!!maybe wewe sio mfanya biashara!
wana mahaba gani na wewe mpaka wakupe hiyo tenda ya 'Richmond' !?Hawa jamaa wamejitambulisha kuwa wana kampuni ya uchimbaji mabwawa na wamepata tenda ya kuchimba mabwawa kwa ajili ya maji ya kunywa wanyama katika mbuga zetu hapa tanzania.wanadai ujuzi wa uchimbaji mabwawa waliusomea ujerumani. wanadai wakati wapo ujerumani waliongea na mjerumani mmoja ambaye ni mtaalam wa madawa ya kusafisha maji. wakadai zaidi kuwa waliongea na huyo mjerumani kuwa, mara watakapomaliza maliza kozi hiyo mjerumani huyo aliwaahidi kuwa angeweza kusupply hayo madawa ya kusafisha maji kwa bei ya dola 4900 kwa ujazo walinitajia nimesahau.wakaniambia kuwa madawa hayohayo yanaweza patikana katika kiwanda kimoja hapahapa tz kwa dola 4100. hivyo wameniambia nifikirie kama nina uwezo wa kusupply hayo madawa na baadae niwasiliane nao. naomba ushauri wandugu nisije kupiga penalti ikageuka kuwa kona.
Sijaona tatizo la kuileta hii habari hapa manake inawasaidia wengi kuwagundua hao matapeli...Mkuu siyo jambo la busara kuileta hii taarifa hapa publick!nafikiri ulitakiwa kufanyia kazi hilo jambo na kupata ufumbuzi,matapeli wamejaa kila kona lakini haituzuii kufanya au kufatilia kwa kutumia uwezo wetu tulio nao na msaada wa watu walio karibu na sisi,tusikurupuke kwa mambo kama haya,kutulia ni jambo la muhimu sana bana,ningekuwa wewe ningelifanyia kazi kama nashindwa ningetafuta watu walio karibu na mimi wanisaidie,tujifunze kutulia,kumbuka kila siku hapa wakenya wanasema sisi bado sana,ni kwenye mambo kama hayo!!maybe wewe sio mfanya biashara!
Thanks mkuu!Huu ni ujumbe kwa wana JF wote, nataka mjua kuwa hakuna fedha za kupatikana kwa urahisi kiasi hicho, ni mafisadi wao kwa wao huwa wanapeana wala siyo kwa mwenzangu n amiye eti upigiwe simu kisha upewe dili, hakuna kitu kama hicho. Kama mtu utakuwa na tamaa utalizwa, ukipigiwa simu yoyote na mtu yeyote akitaka kukupa dili kuwa makini sana. Taarifa jamaa nasikia wana ofisi Manzese jijini Dar kazi yao ndiyo hiyo ya utapeli, huwa wanajifanya waganga wa kienyeji nk.
Hao jamaa wana mtandao wao wa Polisi na wanapofanya tukio Polisi hao huwa wako karibu na tukio ! Endapo 'deal' imeharibika basi wale Polisi wanafika eneo la tukio kwa kasi ya ajabu, wana waarrest, wanawapeleka kituoni baadae wanaanza (Polisi) kukudiscourage wewe mlalamikaji huku jamaa wakiwa mtaani wanawinda 'washamba' wengine !Usithubutu!!!!!!!!!Niliishatapeliwa na hao watu mwezi uliopita wamenitapeli pesa zangu nyingi. Wanashirikiana na wazungu koko watatu. Nimejaribu kwenda polisi mpaka sasa sijafanikiwa kuwakamata.
mm nawatamani kweli hawa watu..., yani nataka nikimshika mmoja namfanya kitu nikimuachia anaenda kujinyonga mwenyewe kwa hiyari yake....,