Kuweni makini, utapeli mpya umeibuka Dar

Kuweni makini, utapeli mpya umeibuka Dar

Hawa matapeli wamecharuka sana, ila cha ajabu unaweza ukakuta mtu amesoma hii post but still anaingizwa mjini.

Kweli mkuu,umenikumbusha kuna jamaa yangu aliwahi pigwa sound ubungo akauziwa sabuni kwa kutoa simu yake na kuongezea hela akiamini ananunua simu kali zaidi.Baada ya muda mrefu kupita kama miezi 10 hivi akikatiza tena maeneo ya ubungo,jamaa mmoja akamwonyeshea simu kali huku akimfuata mwanangu cheki kitu ya ukweli,akamjibu sihitaji nyie mnauzia watu sabuni..jamaa akamwambia embu shika hii uicheki sabuni hii? mimi nimetoka kumwibia mtu hapo kwenye gari..jamaa kucheki akaona si sabuni wakaanza kuongea lugha ya biashara,mwisho wa siku akaondoka na sabuni tena.
 
hawa wapumbafu walinical huyo mzungu wao anaongea kingereza fake nikawatel wajipange, wapumbafu wanatumia no. zinafanana eti za dr. na yao no.zao 0713877573/0713877571.nikatrace mwenye no inayoishia 71 anaitwa pamela n 73 patric amound no zimesajiliwa hivyo...bt sikufanikiwa kuwapata direct naombei tushirikiane tuwatie nduvuni..tuwape dozi tu..hali ya maisha tight harafu wapumbavu kadhaa wanazingua kila siku..hakuna kurudi nyuma wanajamii.

Mi hawa jamaa walinipigia kwa 0716210695 na 0787751212.Baada ya kuwashtukia namba zao zikawa hazipatikani tena hewani.
 
Back
Top Bottom