Tuweni makini kuna utapeli umeibuka kwa njia ya simu

Tuweni makini kuna utapeli umeibuka kwa njia ya simu

Kinjenje

Member
Joined
Jul 19, 2026
Posts
7
Reaction score
18
Kuna utapeli umeibuka kwa njia ya simu. Kuna namba huwa unakuwa nazo kwenye simu, aidha ya rafiki au ndugu, anakupigia simu na kujifanya yupo hospitali kwamba amelazwa

Anakwambia ana mjomba wake yupo airport, hivyo anataka ampe namba yako ili umsaidie jambo. Baada ya hapo, huyo mtu atakupigia na kuanza kukuambia kuna wageni wanakuja nao kutoka airport na wewe unatakiwa uwapokee

Kiukweli, sijui kama mmenielewa. Ataanza kukupanga mazingira ya kuomba pesa. Yaani hapo hapo mtukane au mkatie simu, kisha mubloki
 
Kuna utapeli umeibuka kwanjia ya simu, kuna namba uwa unakua nazo kwenye ,sim aiza rafiki au ndugu,anakupigia simu, uyo ndugu au rafiki anajifanya yupo hospital kwamaba kalazwa, anakwambia nina mjomba yangu yopo aiza kwenye ifazi, kwaiyo anataka ampe namba yako, umsaidie jambo, sasa akimpa atakupigia na kuanza kukwambia kuna wageni anakuja nao kutoka uko kwenya ifazi sasa wew ndio unabidi uwapokee,yani kiukweli nazani mshanielew, ataanza kukupanga mazingira ya pesa, yani apo apo mtukane au mkatie cm au mublok,
Mbinu ya zamani kidogo ya utapeli japo inaweza kuwa mpya kwa ambaye hajakutana nayo.
 
Mhhh hapa ndio wanapiga watu hatari, mimi nilikuja kusikia mtu akalipiwa milioni mbili kwa huo utapeli huo huo, akadhani anamsaidia ndugu yake halisi. Watu wazee hasa ndio wanakoroma na hii mbinu, tuwaelimishe wazazi na ndugu zetu wa mashambani.
 
Kuna utapeli umeibuka kwanjia ya simu, kuna namba uwa unakua nazo kwenye ,sim aiza rafiki au ndugu,anakupigia simu, uyo ndugu au rafiki anajifanya yupo hospital kwamaba kalazwa, anakwambia nina mjomba yangu yopo aiza kwenye ifazi, kwaiyo anataka ampe namba yako, umsaidie jambo, sasa akimpa atakupigia na kuanza kukwambia kuna wageni anakuja nao kutoka uko kwenya ifazi sasa wew ndio unabidi uwapokee,yani kiukweli nazani mshanielew, ataanza kukupanga mazingira ya pesa, yani apo apo mtukane au mkatie cm au mublok,
Sawa mkuu, ila matumizi ya 'h' pia yazingatiwe
 
Mimi hao walishanipgia sana lakini mwisho wa siku nilibaki kuwatapeli siku hiyo hiyo mwisho wa siku matusi niliyapata kama yote.
Walipga simu kuwa dadangu anaumwa nkasema hapa kumekucha na makucha yake. Nkachukua simu nkapga namba ya dada yuko salama salimin nkasema hamnijui nyie. Nkawaambia hapa sina hata hela hadi nauli sina ya kwenda nyumban nichukue kadi ya benki niende nitoe hela afu niwatumie kama vipi wanikopeshe 20k ntawatumia zote kweli wakajiroga wakatuma 23k ati ni ya usafir na mda huo wote kweli nimejifanya nimeamin maneno yao mara niwaambie ngoja nimpgie mtu simu aniokoe niwatumie hapo hapo sauti ya huzun kama ya wabongo movie wakaingia box na kweli sijakaa sawa wameniekea 23k nakuwapanga kabsa wanitumie wasp no. yao niwapgie vcal kwel wakajilengesha na hapo hapo nawapgia nikiwaambia ndo naenda wakaona kweli naingia ndan ya gari na gar lenyewe langu, breki ya kwanza baan nakulipia kabsa nyago 2. Kuwapgia nikawaonyesha meza haki nilikutana na matusi ya kila rangi nikabaki kucheka tu.
 
Back
Top Bottom