rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,441
Mkuu siyo jambo la busara kuileta hii taarifa hapa publick!nafikiri ulitakiwa kufanyia kazi hilo jambo na kupata ufumbuzi,matapeli wamejaa kila kona lakini haituzuii kufanya au kufatilia kwa kutumia uwezo wetu tulio nao na msaada wa watu walio karibu na sisi,tusikurupuke kwa mambo kama haya,kutulia ni jambo la muhimu sana bana,ningekuwa wewe ningelifanyia kazi kama nashindwa ningetafuta watu walio karibu na mimi wanisaidie,tujifunze kutulia,kumbuka kila siku hapa wakenya wanasema sisi bado sana,ni kwenye mambo kama hayo!!maybe wewe sio mfanya biashara!