Chantaburi
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 749
- 194
Achana nao matapeli hao. Mie walinipigia kwa namba 0762534141 na+255755334988 nikawaeleza kuwa sina hela ila kama wanahitaji wanitumie walau milioni tatu kwa njia ya mpesa. Hawakusikika tena hadi leo. Wanajaribu namba hovyo hovyo halafu wanahakiki kwenye mpesa ili wajue jina lako.