Kuweka lami barabara ya Iyegeya hadi Sawala ila Mgololo highway haina lami sio poa!

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,827
9,537
Naomba niwakosoe watoa maamuzi. Kwanini feeder roads za barabara kuu itokayo Mafinga-Mgololo zina lami lakini hii barabara kwa miongo kadhaa sasa lami inaombwa lakini haiwekwi!? SERIKALI TAFADHALI WAANGALIENI WANANCHI WA ENEO HILI LA MAFINGA MGOLOLO kuna uchumi sana huko lakini mabarabara hayako vizuri.

Kilichonistaajabisha ni kwamba 35 Kilometre kutoka Mafinga town barabara zinazoingia vijiji vya ndani kama Sawala-Kitiru tayari ina lami kwa sehemu na Sawala-Iyegeya lami inabandikwa sio muda kazi inaendelea!

Sasa najiuliza kwanini hili barabara muhimu linalopitisha bidhaa muhimu kama Karatasi kutoka Mgololo factory,Mbao kutoka Saohill na kwa wakulima binafsi wa miti,Chai,Pareto,parachichi,Cinchona(hii ni mitishamba inayovunwa kupelekwa viwanda vya dawa na sumu kama ilivyo pareto),Magogo ya nguzo za umeme nk, nguzo za uzio,mabanzi nk, pia Halmashauri ya Mufindi hili ndo barabara lake kuelekea huko makao makuu mapya yanayotarajiwa haliwekwi lami!?

Tafadhali fanyeni huu mradi uanze lami lipite huko tuharakishe maendeleo zaidi ya sasa kama inavyofanyika kuweka lami huko ndani zaidi lakini mtu akitokea huko anakuja kukutana na barabara la vumbi tena hadi afike Mafinga.

Ikumbukwe huko kuna viwanda zaidi ya Vitano vya chai tu. Tuyatendee haki maeneo yanayotuingizia mapesa ya kutosha ikiwemo Mufindi.

Nawapongeza maji yamefika ila mabarabara kwa kweli bado.

PICHA: Hilo barabara panapoonekana anga la rangi ya Orange ndilo nalolizungumzia hapa hilo linaenda Mgololo kiwanda pekee cha kuchakata magogo ili kutengeneza karatasi katika eneo la Afrika Mashariki na Kati.

PICHA NYINGINE: Barabara la Sawala Village linalokwenda Luhunga ambalo linapachikwa lami lije kukutana na hilo la Mgololo.

Wananchi huko wanachakalika kweli ila barabara bado mtikhani!
20200801_183543.jpg
20200801_121233.jpg
20200801_122950.jpg
20200801_121307.jpg
20200801_121110.jpg
20200801_121036.jpg
20200801_114820.jpg
20200801_183522.jpg
 
Mna diwani bubu?Basi mshawishi mwenyekiti wa halmashauri na hao madiwani walione hili.
Mtendaji wa manispaa nae umueleweshe .
sisi huku JF tuache tujadili maslah ya Taifa.na miradi ya kitaifa.
 
Kwa kweli umesema sawa na piaaa barabara ya Mafinga mtili sawala mtwango Lufuna Kibao lugoda mlimani mninga Igowole hadi nyororo NI VUMBI. sisi tangu tunazaliwa tunasikia wapo kwenye mpango lakini hamna kitu .wame weka lami sawala kupitia kitilu hadi lugoda mlimani ambako kuna wakqzi wachacheee Wameacha ya sawala Kibao ambayo ndio barabara kuu na wakazi ni wengi maeneo hayo.

Suala la Maji Kijiji cha Lufuna, Kibao mninga na Igowole hakuna Kabisa sijui tunaendelea maana miaka ya nyerere Maji yalikuwa ya Bomba safi Kabisa saizi Maji hakuna hadi mtoni ambako ni mbali sana. Tunaomba Wabunge wetu watumikie wananchi wao na pia tunaomba serikali itupatia Huduma hizo muhimu
 
Sawala hadi Mtwango maji wameweka tayari na sasa wanaunganisha kila kaya na bomba baada ya kuweka viosks! Huko Lufuna nadhani ni mpango mwingine
 
Naomba niwakosoe watoa maamuzi. Kwanini feeder roads za barabara kuu itokayo Mafinga-Mgololo zina lami lakini hii barabara kwa miongo kadhaa sasa lami inaombwa lakini haiwekwi!? SERIKALI TAFADHALI WAANGALIENI WANANCHI WA ENEO HILI LA MAFINGA MGOLOLO kuna uchumi sana huko lakini mabarabara hayako vizuri.

Kilichonistaajabisha ni kwamba 35 Kilometre kutoka Mafinga town barabara zinazoingia vijiji vya ndani kama Sawala-Kitiru tayari ina lami kwa sehemu na Sawala-Iyegeya lami inabandikwa sio muda kazi inaendelea!

Sasa najiuliza kwanini hili barabara muhimu linalopitisha bidhaa muhimu kama Karatasi kutoka Mgololo factory,Mbao kutoka Saohill na kwa wakulima binafsi wa miti,Chai,Pareto,parachichi,Cinchona(hii ni mitishamba inayovunwa kupelekwa viwanda vya dawa na sumu kama ilivyo pareto),Magogo ya nguzo za umeme nk, nguzo za uzio,mabanzi nk, pia Halmashauri ya Mufindi hili ndo barabara lake kuelekea huko makao makuu mapya yanayotarajiwa haliwekwi lami!?

Tafadhali fanyeni huu mradi uanze lami lipite huko tuharakishe maendeleo zaidi ya sasa kama inavyofanyika kuweka lami huko ndani zaidi lakini mtu akitokea huko anakuja kukutana na barabara la vumbi tena hadi afike Mafinga.

Ikumbukwe huko kuna viwanda zaidi ya Vitano vya chai tu. Tuyatendee haki maeneo yanayotuingizia mapesa ya kutosha ikiwemo Mufindi.

Nawapongeza maji yamefika ila mabarabara kwa kweli bado.

PICHA: Hilo barabara panapoonekana anga la rangi ya Orange ndilo nalolizungumzia hapa hilo linaenda Mgololo kiwanda pekee cha kuchakata magogo ili kutengeneza karatasi katika eneo la Afrika Mashariki na Kati.

PICHA NYINGINE: Barabara la Sawala Village linalokwenda Luhunga ambalo linapachikwa lami lije kukutana na hilo la Mgololo.

Wananchi huko wanachakalika kweli ila barabara bado mtikhani!View attachment 1532034View attachment 1532037View attachment 1532038View attachment 1532040View attachment 1532042View attachment 1532047View attachment 1532050View attachment 1532051

Duh..Sawala to Kitiru wanaweka Lami?
Hahaa naona kibao ch fox hapo...lol.
Kwahiyo Lami imeishia wapi? Mtili au? Kalinga Kuna Lami? Mweee....mmeendelea basi
 
Sure nipo Sawala Village hapa nina deal zangu by the way kijigereji na kabiashara ka mbao kidogo!
Sawa sawa..Hizo mitaa zote ziko kichwani...nyangugulu kote huko..kulikua na tajiri mitaa hiyo wa mbao sijui Kama bado yupo ..kilyamulya!SEMA utakua humfahamu!
 
Back
Top Bottom