Testar
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,461
- 12,214
Ni maeneo mazuri sana kwa ajili ya utalii wa misitu....watu wa huko ni wakarimu na waungwana....mahindi wanayachukulia for granted.Dk kadhaa tu kutoka hapo sawala..njia ya kwenda Mgololo pale chini