N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 6,825
- 9,532
Hivi leo barabara za vijiji vya ndani kv Sawala-Mninga imewekwa lami nimeenda hivi juzi barabara ya Sawala-Luhunga inawekwa lami LAKINI barabara kuu ya MAFINGA-MGOLOLO kiliko Kiwanda pekee na Kikubwa cha Karatasi kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati hakuna lami.
Barabara hii pia inahudumia viwanda vingi zaidi ya VITANO vya Hardboard/Plywood pia kuna mazao ya Miti kwa wingi; kuna viwanda takribani VITANO vya Chai.
kuna mazao ya Chakula lukuki na orchards kv Maparachichi na Ma apple yanayolisha miji yetu TZ nk lakini kwa MIONGO kadhaa AHADI zisizotekelezwa za kuweka lami zimekuwa zikitolewa na FEASIBILITY STUDIES kufanywa mara nyingi na TANROADS lakini lami haiwekwi.
WAKAZI WA MUFINDI vijiji vya Luganga,Itulavanu,Mtili, Sawala,Mtwango, Ziroziro nk TUNAULIZAAA ni lini Serikali mtaweka lami barabara hii!?
Hizi picha nilipiga Njiapanda ya LUPEME barabara ya ndani huko kwenda LUHUNGA inaandaliwa kuwekwa lami lakini barabara kuu hiyo ya mkono wa kulia iendayo MGOLOLO PAPER MILLS bado haiwekwi lami WHY jamani WHY?
Mbunge wa huku ujitathmini LAMI isipokuja hadi 2025 sisi kama wananchi wa Mufindi tutajua nini cha kufanya.
Utafurahi yaani.