INTROVERT MAN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 993
- 1,337
Sana kama una shamba kule yawezekana tunapim chai pamoja ila hatujuani tuKabisa yaani...wacha Tuendelee na ID hizi najua one day tutafahamiana kama itakuwa muhimu huko siku za usoni
Sana kama una shamba kule yawezekana tunapim chai pamoja ila hatujuani tuKabisa yaani...wacha Tuendelee na ID hizi najua one day tutafahamiana kama itakuwa muhimu huko siku za usoni
Hapa ni wapi? Hapa sio nyangugulu..maybe kwa foxYah bado ipo nilikula kuku wa kienyeji wa kuchoma pale Nicko ndio huwa mwenyeji wangu kila ni endapo kule naipenda sana Mufindi....... View attachment 1536417
Hunizid aisee...dah..Mufindi !nimefurahi kwa story zote hizo, nimeyamis sana maeneo hayoo.
Ndimyaa ndimnyakwifwagi bee!!Ndaa sindihwana ndinoge haha! nene si ndi muhu'si ndaah!
Ulatanila bwana, ijo milevele hela
Ndala pe yikwamila. Fwanya ukawuya
Nyumbani Kwa Nicko MtwangoHapa ni wapi? Hapa sio nyangugulu..maybe kwa fox
Nicko MuzunguNyumbani Kwa Nicko Mtwango
kati ya wabunge mizigo kigolla ni among of them
🙊🙊Noma na nusu...Nicko Muzungu
Kuna jamaa ake mwaka jana alikamatwa na mashine za EFD feki kilichompata ni siri yao
Imewatoka zaidi ya 1billion kuchomoka
Wewe nimekuvulia kofia kila angle upoNoma na nusu...
Kigolla alijimilikisha plot za miti saohill enzi ni naibu waziri ilikuwa kila plot utayoingia ni ya kigollaMiaka yote mitano ya Magufuli alikuwa busy kuufukuzia uwaziri ili aendelee kuneemeka. Alishindwa kabisa kulipigania Jimbo na Wananchi wenzake wa Mufindi Kusini.
Ngoja tusubiri tuone zile kura zake 8 alizopewa na 'Wajumbe' kama zitambeba kwenye maamuzi ya mwisho ya chama chake.
Ila kiuhalisia Serikali ya Ccm ina utani sana. Barabara ya kutoka Nyololo Igowole Kibao Sawala mpaka Mgololo, na ile ya kutoka Mafinga Sawala mpaka Mgololo, zilistahili muda kuwekwa lami au hata 'zege' kutokana na utajiri unaoiletea Nchi!
Lakini miaka yote hakuna kitu huku 'upembuzi yakinifu' ukiwa umeshafanyika tangu mwaka 2014!
Bela ipoo veve u mwenyeji sanaaaaaBraza namfahamu Kilamulya kuliko wewe possible kuna Kilamulya mkubwa baba yake wa akina Monde(Huyu dogo anaingia kwenye siasa mwaka huu) alikuwa anaishi Sawala Magengeni ambae alikuwa tajiri miaka hiyo ila siku hizi nasikia amechuja baada ya kuhama kijiji na kuna Kilamulya mdogo wa njiapanda ya Lupeme huyu alikuwa na pesa sana enzi hizo za mwanzoni mwa 2000s (ndio watu wa mwanzo mwanzo kudrive Prado huku) siku hizi hata akina Maula wamemzidi...hiyo Sawala mpaka Ziroziro hunidanganyi hata tone ni mitaa nayoijua saaana kuanzia Kalinga,Sawala Kati,Njiapanda ya Lupeme,Kitiru,Nyangugulu kwa akina Kipambe Sanga matajiri wa enzi hizo...nk nk zamani kipande hicho alikuwepo guru wa mabasi ya abiria alikuwa anaitwa Mvemba aliuawa kwa risasi sababu ya ujanja ujanja...wengine kwenye usafirishaji wanaitwa akina Likikima,akina Nyenza wa Nyangugulu nk nk....nayajua hayo maeneo tangu enzi za Kojifa,SPM na sasa MPM kijiwe changu wakati huo kilikuwa hapo Ofisi za kijiji kwa mama Sayuni!!! Nina mashamba huko Sawala,gereji na biashara ya mbao. Na nimesoma SM Sawala miaka hiyo japo nilisoma muda mfupi.
Leta swali!
Sawa Mnyalu.....napamisi Sana huko aisee.Kuna winter balaa. Wenyewe tunasema kwina kitungwi siluhwana. Tena mwaka huu balaa
Ndio bado yupo naeBado yuko na Yule mke mwarabu?