ZOPPA
JF-Expert Member
- Jan 20, 2017
- 2,742
- 2,906
Mkwawa vip naweza pata ya wasafitvyap na quality full HD au HD kawaida. kwa mechi za Uefa zikiwa zinachezwa ile saa 4 na dk 45 unatumia tu kifurushi cha usiku.
ila sasa hivi inachezwa saa 3 huwezi tumia, mpaka uwe na vifurushi maalum.
