Kuweka IPTV Katika Receiver

Kuweka IPTV Katika Receiver

Nimetumia pvr iptv simple client kwenye KODI halafu nikatia hiyo link
jaribu kutengeneza simple text file lenye extension ya .strm kisha uload hilo file, au subiria nizieke pamoja nizi upload baadae.
 
Ziweke pamoja chief kisha tuelekeze jinsi ya kuzitupia kwa kodi tule maisha baba
 
File hilo lipo kama zip,

Utaliextract ndani utakuta file la bongotv.strm

Utafungua kodi, kwenye video ckick add file then utachagua folder ambalo hilo file la bongotv lipo mfano lipo downloads/bongotv chagua hilo kisha click ok,

Ukiingia kwenye kodi nenda videos kisha utaona folder lile ulilochagua, ukiingia utaona tv zako zote.

Kama njia hii ni ngumu nitajaribu kueka playlist ya mxplayer au lazyiptv
 
Attachments

Duu

kodi niliyodownload nafata procedure zote but nakwama mkuu
 
File hilo lipo kama zip,

Utaliextract ndani utakuta file la bongotv.strm

Utafungua kodi, kwenye video ckick add file then utachagua folder ambalo hilo file la bongotv lipo mfano lipo downloads/bongotv chagua hilo kisha click ok,

Ukiingia kwenye kodi nenda videos kisha utaona folder lile ulilochagua, ukiingia utaona tv zako zote.

Kama njia hii ni ngumu nitajaribu kueka playlist ya mxplayer au lazyiptv
Mkuu tunasubir hyo ya MX player
 
Ni internet ya kampuni gani inafaa kwa kufanyia streaming?
 
kaka nimepakua ili file japo siwez kuliingiza nawezaje kutengebeza iyo text file na kuingiza kwenye mx player?
 
unali extract kwanza kisha unaliclick litaplay,

kama halikubali na mxplayer download lazy iptv au vlc
 
msaada na kwa kutumia pc unafanyaje
uamuzi wako tu,
-ukiclick tu hizo link na browser zitaplay
-unaweza tumia vlc zitaplay pia
-unaweza tumia kodi zitaplay
-unaweza tumia software mbali mbali za iptv.

kwa vlc bonyeza juu kushoto chagua network stream then paste link husika. au download hio playlist then ifungue na vlc.
 
Back
Top Bottom