Kuweka IPTV Katika Receiver

Kuweka IPTV Katika Receiver

unaifahamu app ya mobdro? wana chanell nyingi.

pitia hii link
List of Current WWE programs

hio ni list ya chanell inayoonyesha wwe live.

mfano kwa marekani ni usa network

unaenda mobdro unaisearch hio chanell. nimeisearch mimi ipo, unasubiria muda wa pambano unaangalia.
Mkuu kwenye USA network wanaonesha 8:00pm EST, but nimejaribu kuconvert kwa masaa yetu ila majibu hayanirizishi..

Naomba nisaidie hayo Masaa kwa huku bongo ni saa ngapi??
 
Mkuu mkwawa nimedownload mxplayer nimepita hatua zote mwisho napata Majibu hatua ;the link can't play sasa sijui shida iko wapi
umepaste link moja kama ya ITV? au ume open playlist? jaribu link moja kwanza.
 
Mkuu kwenye USA network wanaonesha 8:00pm EST, but nimejaribu kuconvert kwa masaa yetu ila majibu hayanirizishi..

Naomba nisaidie hayo Masaa kwa huku bongo ni saa ngapi??
saa 9 usiku ya huku kwetu. maana pambano la saa 4 usiku marekani sisi tunadamka saa 11 alfajiri.

labda uangalie marudio yake yakiwa mchana kwao kwetu itakuwa muda mzuri.

download playstore app inaitwa timebuddy utakuta by default wameeka new york na wewe chagua dar es salaam, utaona ikiwa saa ngapi new york ni saa ngapi dar es salaam.
 
Shukrani sana chief mkwawa...clouds tv yenyewe vipi?
 
Chief samahani nawezaje kupata link ya UBC ile channel inayoonyesha uefa siku ya jumatano kwenye kung'amuzi cha azam? samahani kwa usumbufu kiongozi wangu...!!!
chanell za uganda kwenye app ya azam ni NTV na NBS.
 
Chief-Mkwawa
Kama Kuna app ya kuangalia mpira live tofauti na mobdro naomba kupata hiyo app
 
Back
Top Bottom