kuwaza ngono ni upumbavu.

kuwaza ngono ni upumbavu.

Kuwaza ngono si upumbavu, bali ni hali ya kawaida ya kibiolojia na kisaikolojia kwa binadamu aliyekomaa. Tamaa na mawazo ya ngono huchochewa na homoni mwilini, lakini athari yake inategemea jinsi unavyoyadhibiti.
 
Kama ni mke wako sawa ila kando na hilo n upumbavu
 
Kama tumboni kwako kuna kitovu bc ww nawe n zao la ngono, sasa Isije ikawa umepatikana Wazee wakiwa gest, Lazima uwe na matatizo ya akili

Anyway, mtoa mada em Tupe idadi ya uwekezaji wako
 
Back
Top Bottom