Light Saber Imetosha Sasa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 5,137
- 9,424
Tunapangiana hadi kwenye Nini cha kuwaza ,
Wewe ni dikteta
Wewe ni dikteta
Naunga mkono hoja. Naturally hisia za mwili zinazochochewa na uwepo wa homoni iitwayo testosteron kwa mtu mwanaume-rijali ni kawaida awaze ngono.Kuwaza ngono si upumbavu, bali ni hali ya kawaida ya kibiolojia na kisaikolojia kwa binadamu aliyekomaa. Tamaa na mawazo ya ngono huchochewa na homoni mwilini, lakini athari yake inategemea jinsi unavyoyadhibiti.
Sijakuzuia kamanda do as you wishTunapangiana hadi kwenye Nini cha kuwaza ,
Wewe ni dikteta
Kama umeoa sawa licha na hilo n upumbavu na ushenziNaunga mkono hoja. Naturally hisia za mwili zinazochochewa na uwepo wa homoni iitwayo testosteron kwa mtu mwanaume-rijali ni kawaida awaze ngono.
Ngono ni mojawapo ya hitaji muhimu la kimwili kwa mwanaume rijali.
Cha msingi hapo ni mhusika ajitambue na kuweza kuyatawala matamanio hayo.
ngono ni kwa wanandoa kama hujaoa au kuolewa.kaa mbali na hilo mpaka uoeUnataka watu tuwe mashoga sio?. Shenzi kabisa. Biological kama mwanaume ukila ukashiba utawaza ngono automatically.
Haijalishi umeoa au hujaoa. Kwa yule ambaye hajaoa hiyo inamsukuma mwanaume awahi kuanzisha mchakato wa kutafuta mwenza/mke na kuoa.Kama umeoa sawa licha na hilo n upumbavu na ushenzi
Ni kweli; lakini mawazo/hoja/maoni/ushauri vilivyowekwa kimaandishi haviliwi na funza kamwe bali hudumu daima kwa vizazi na vizazi e.g. Hoja au maoni ya mwl. J.K. Nyerere vilivyoandikwa miaka hiyo ya naintini kweusi bado vina mashiko/vinatumika leo 2026.......... ilhali yeye mwenyewe mwamba alishamalizwa kuliwa na funza.The good thing is..by 2100 mimi na wewe mleta mada tutakua tushakua chakula cha funza.
Umenena kweli -Safi kabisangono ni kwa wanandoa kama hujaoa au kuolewa.kaa mbali na hilo mpaka uoe
. Tofauti na hapo ndo wahusika wanajikuta ni wenye sonona, maugomvi yasiyo na msingi, kesi za kipumbav-pumbavu, kulishana sumu n.k.Mwanaume tafuta ela ekeza kwenye miradi na biashara.acha upumbavu wakupenda chini utakufa vibaya. jisifu na mafanikio acha ujinga ngono n umaskini
Mafundisho mfu hayo. Biological ukifikisha miaka 15Me na 12ke ngono ni biological ns psychological demand so itakupasa uipate. Usipotoshe.ngono ni kwa wanandoa kama hujaoa au kuolewa.kaa mbali na hilo mpaka uoe