kuwaza ngono ni upumbavu.

kuwaza ngono ni upumbavu.

Mwanaume tafuta ela ekeza kwenye miradi na biashara.acha upumbavu wakupenda chini utakufa vibaya. jisifu na mafanikio acha ujinga ngono n umaskin
Tufanye hivi, wewe jisifu na mabishara na mafanikio, wengine waache wajisifu na ngono tuone kama biashara zako zinaharibika au kushika. Kila mtu ashike chake anachokiweza jamani
 
Mwanaume tafuta ela ekeza kwenye miradi na biashara.acha upumbavu wakupenda chini utakufa vibaya. jisifu na mafanikio acha ujinga ngono n umaskin
Acha kutushauri ujinga.

Nisipopenda chini nitapenda wapi?
 
Kama tumboni kwako kuna kitovu bc ww nawe n zao la ngono, sasa Isije ikawa umepatikana Wazee wakiwa gest, Lazima uwe na matatizo ya akili

Anyway, mtoa mada em Tupe idadi ya uwekezaji wako
Mm nna 28yrs ninabiashara za kutosha kiasi takriban mil 35.ila mimi nina uvulana wangu sitaki ngono mpaka nioe
 
Back
Top Bottom