Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,920
- 3,753
- Thread starter
- #41
Inasimama ila kuzini hakuna manufaa n hasara tupu.Kwa hiyo kama sio mwanandoa haisimami?
Inasimama ila kuzini hakuna manufaa n hasara tupu.Kwa hiyo kama sio mwanandoa haisimami?
Wasalimie TarimeMm nna 28yrs ninabiashara za kutosha kiasi takriban mil 35.ila mimi nina uvulana wangu sitaki ngono mpaka nioe
Anashauri wanaume watunze nyeti zao🤗🤗🤗🤗Nyoko! 28 umefikisha lini na ulikuwa na 21 juzi tu hapa! Saa hizi uko busy kushauri watu wazima huu ujinga 🚮
Atunze ya kwake kwa sasa haina kazi, itakuja msaidia baadae!😁Anashauri wanaume watunze nyeti zao🤗🤗🤗🤗
Aisee pole zao bora hata tupungue ili tufaidi mbususuWatu wanaleft group kinoma noma, nini shida mazee?
Ndio pia wadada watunze hazin had ndoa na utaenjoy sana. sex is ment for marriage not for non-marriageUnawasihi wanaume watunze nyeti zao Hadi ndoa?
Usipambane na wengine wenye hela nimewahi fanya kazi hotel waliokua wanaingia na warembo wazuri ni watu wenye hela sio makapukuMwanaume tafuta ela ekeza kwenye miradi na biashara.acha upumbavu wakupenda chini utakufa vibaya. jisifu na mafanikio acha ujinga ngono n umaskin
Mswalie mtume mwamposaNi shemeji yako!
Bora umemuweka wazi😆Usipambane na wengine wenye hela nimewahi fanya kazi hotel waliokua wanaingia na warembo wazuri ni watu wenye hela sio makapuku
"Kizazi cha sasa kinatengeneza wanaume dhaifu zaidi kuwahi kutokea katika historia ya binadamu.Mm nna 28yrs ninabiashara za kutosha kiasi takriban mil 35.ila mimi nina uvulana wangu sitaki ngono mpaka nioe
Golden point"Kizazi cha sasa kinatengeneza wanaume dhaifu zaidi kuwahi kutokea katika historia ya binadamu.
Mwanaume wa miaka 25 analala hadi saa 4 asubuhi,
Mwanaume analia akikataliwa na mwanamke,
Mwanaume anashinda akibishana kuhusu wasanii wa muziki,
Mwanaume anasubiri mama yake amlipe kodi ya nyumba.
Hamna nidhamu, hamna uthubutu, hamna stamina ya maisha.
Tunatengeneza jamii ya wavulana wenye ndevu lakini wana akili na hisia za watoto wa kike.
Mkizaa watoto wa kiume, wafundisheni kuwa ngumu, maisha hayajawahi kuwa laini"
Huyu mzee asipo pigwa kwenye daladala 😁😁😁 naona hana hata wasi wasi kuongea hivyo ila vijana wanamuangalia kwa hasira sana.
Ngoja tuone nitawapa update!
Nyoko! 28 umefikisha lini na ulikuwa na 21 juzi tu hapa! Saa hizi uko busy kushauri watu wazima huu ujinga
Hata yeye amewaza ngono ndiyo sababu ya kuandika huu uzi 😂🤠😂🤠😀 Sawa ya kinyonge san bamdg
Pw nitawsalimWasalimie Tarime
Na kwel😀Hata yeye amewaza ngono ndiyo sababu ya kuandika huu uzi 😂🤠😂🤠