Kuwa single raha sana

Kuwa single raha sana

Tatizo la wadada wengi ni moja tu, you fall way too fast!!!! Imagine umekutana na mtu leo, unankubalia leo, thn just today you are deep in love, jumamosi mnazungumzia ndoa....obviously lazma akudanganye na kukuchezea...

You must know how play this game, how to make a man fall for you first. Otherwise mtaumizwa kila uchao!!!!!!

Ndo maana wanasema experience is the best teacher,

Ulipo ingia kwenye relationship for the first time hukujua something bad would ever happen to the relationship,

Lakini kitu hutokea ndo tunajifunza,na siku zote uking'atwa na nyoka ukiona unyasi lazima utashtuka,
 
Hujapata alie kupend for real..huyo uliekuwa naye hakuwa mpenz bali kero bringer...kupendwa raha sana. Wanasifia usingle ni excuse tu bt deep inside they need sombdy..huh

So which is better??

Kuwa na mahusiano ambayo huna raha nayo au uwe pekee yako??

Nijibu tafadhali
 
hamna lolote mkuu, acha kujifariji, mwisho wa cku utakuja kutamka km yale yababu Asprin "ulikuwa wp cku zote"
 
Ila nafurahia maisha ya kuwa single kwakua unaishi unavotaka na hakuna kufikiria unaibiwa wala nini,single ni raha sana jamani unakua huru kufanya yako kwa muda unaojua wewe,weekend ukiamua unatoka au ukiamua autoki.

Kula tano!
 
Na ukifa sijui nani atakulilia kwenye msiba wako
 
sijawah kuona raha ya kuwa single!!ni stress kila kukicha..hamna kitu kizur kama ukiwa kwenye rltnship jmn upate the right person..unaenjoy sana..
 
Nani kasema kuwa single ni raha?
Mwenyewe si umeona umemuekea kamtego ka panya tu, anaanza kujichanganya!
Huyu kashapewa kibuti, kaja hapa aponze maumivu na single fekero wa JF!
...
Chezea kuambiwa 'baby nimekumith', 'nakupenda', 'nnagenye' etc!
afu raha nyengine unakula mbunye bila ndomu!
...
Hapana chezea! Binadamu yoyote, mkubwa na mzima akafurahia usingle!

Uzuri wa mapenzi ni pale unapommiss mwenzio, utani wa hapa na pale, fights zisizona madhara juu ya uhusiano wenu[hata kama mtachuniana siku moja mbili sio mbaya], ukimwitaji anapatikana, akizima simu au asipopokea simu yako roho juu, utembeapo naye akisalimiwa na vidume au kumkodolea macho unatoa macho kwa wivu huku moyoni unajisifu kwa wengine kumuappreciate girl wako. Yote hayo ndio yanaleta radha kamili ya kuwa na mpenzi.
Mapenzi ya kinyume na hapo hayana raha yoyote. So kama jamaa alikuwa anavikosa vyote hivyo, wacha aufurahie usingle.
 
Nani kasema kuwa single ni raha?
Mwenyewe si umeona umemuekea kamtego ka panya tu, anaanza kujichanganya!
Huyu kashapewa kibuti, kaja hapa aponze maumivu na single fekero wa JF!
...
Chezea kuambiwa 'baby nimekumith', 'nakupenda', 'nnagenye' etc!
afu raha nyengine unakula mbunye bila ndomu!
...
Hapana chezea! Binadamu yoyote, mkubwa na mzima akafurahia usingle!

umeona eeeh acha kabisa kitu unakula bucha kwa bucha
 
Pole kwa sababu huyo uliyekuwa naye alikuwa kero kwako so nau unapumua!! Hongera pia!
 
Athante Munkari na bdo npo npo hata wakiponda
tian heshma kwako majb yko ndo yngu
Nyani Ngabu shukrani mkuu kula tano
 
Last edited by a moderator:
Ni visiku vichache vimepita tangu niachane na alienipenda kutokana na sababu nilizowahi kuziainisha,

Ila nafurahia maisha ya kuwa single kwakua unaishi unavotaka na hakuna kufikiria unaibiwa wala nini,single ni raha sana jamani unakua huru kufanya yako kwa muda unaojua wewe,weekend ukiamua unatoka au ukiamua autoki.

Maisha haya ni matamu sana na najuta why sikugundua mapema...

duu pole sana, maranyingi mtu ukiwa unaumia moyoni unajishebedua kinoma

mara utabadilisha profile facebook kuwa 'single' mara utatafuta demu mwingine fasta ili ulemwacha aone unauwezo wakupata mwengine mara utafanya hivi mara utaandika kuwa single vizuri, uongo mtupu

mwenzio amekaa kimyaaaal, anaendelea na maisha yake wewe unaandika kuwa single raha. ha ha haaaa poleeeeee

mwanamke hanaga tabu, wewe umeshuka mwezio kakaa, kama siti ya daladala vileee, ha ha haaaa poleeee
 
wewe sio bure, ni wa kupima, unamanisha kuwa single kupi labda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom