Kuwa single raha sana

Kuwa single raha sana

Me npo single kwa raha zngu @ Sam love Sam Love
 
Last edited by a moderator:
Ni visiku vichache vimepita tangu niachane na alienipenda ktokana na sababu nilizowahi kuziainisha,ila nafurahia maisha ya kuwa single kwakua unaish unavotaka na hakuna kufikiria unaibiwa wala nini,single ni raha sana jaman unakua huru kufanya yako kwa mda unaojua wewe,weekend ukiamua unatka au ukiamua autoki.Maisha haya ni matamu sana na najuta why sikugundua mapema...
mkuu ni kweli lakini pia inatesa sana ila ukiwa huna mkwanja kua single ni raha sana
 
Mwaya kwa raha zako,

Mapenzi yakishakutesa huna haja ya kuyang'ang'ania

Jipatie nafasi ya kujiachia.

Kuwa single doesn't mean you are lonely wajameni,ni kuwa na break!!
 
Mkuu watu8 kwani kifanyio pekee ndio kinapelekea uwepo wa mahusiano? si anaweza kukitumia mechi za mchangani sizohitaji mkataba wala masharti.

Hahaha!!! kumbe jamaa kakimbia tu majukumu ya magelo frendi...ila mchangani anaendelea kupiga jeramba
 
Kuishi single kuna raha sana.unakuwa kama daladala,wanashuka na kupanda...me hakikisha unafunga mkanda(a.k.a ndoms)kuepusha ajali za kizembe(stds)halafu unawapanga kulingana na mwonekano wao na uelewa...kuna wa kwenda naye kwenye harusi,ubarikio,na kuna wa kwenda naye clubbing.....jst kama Zuma na mswati...true african men of 21st century
 
mmmmmmmmmmmmh! duuuh! yawez kua sawa coz usha pata ctrec sana:suspicious:😛hoto:
 
Mwaya kwa raha zako,

Mapenzi yakishakutesa huna haja ya kuyang'ang'ania

Jipatie nafasi ya kujiachia.

Kuwa single doesn't mean you are lonely wajameni,ni kuwa na break!!
Na kwa nini mapenzi yakutese?
 
Kuishi single kuna raha sana.unakuwa kama daladala,wanashuka na kupanda...me hakikisha unafunga mkanda(a.k.a ndoms)kuepusha ajali za kizembe(stds)halafu unawapanga kulingana na mwonekano wao na uelewa...kuna wa kwenda naye kwenye harusi,ubarikio,na kuna wa kwenda naye clubbing.....jst kama Zuma na mswati...true african men of 21st century

Weweeeee,

Sikubaliani na wewe hata kidogo,

Huo ni umalayaaa
 
...ni km vile hukupendwa huko ulikotoka.....singo hakuna raha yeyote wala usijidanganye as hiyo ni temporary tu....utakuja hapahapa kudai uko mpweke...
 
Na kwa nini mapenzi yakutese?

Hutokea just naturally

Unampenda mtu kwa moyo wako wote kumbe yeye walaah hata hashtuki ni kupretend tu,anakuaminisha kuwa ni wewe peke yako,lakini mambo yanabadilika mifano iko hai kila siku watu wanauwana kwa ajili ya mapenzi.
 
Hujapata alie kupend for real..huyo uliekuwa naye hakuwa mpenz bali kero bringer...kupendwa raha sana. Wanasifia usingle ni excuse tu bt deep inside they need sombdy..huh
 
Hutokea just naturally

Unampenda mtu kwa moyo wako wote kumbe yeye walaah hata hashtuki ni kupretend tu,anakuaminisha kuwa ni wewe peke yako,lakini mambo yanabadilika mifano iko hai kila siku watu wanauwana kwa ajili ya mapenzi.

Tatizo la wadada wengi ni moja tu, you fall way too fast!!!! Imagine umekutana na mtu leo, unankubalia leo, thn just today you are deep in love, jumamosi mnazungumzia ndoa....obviously lazma akudanganye na kukuchezea...

You must know how play this game, how to make a man fall for you first. Otherwise mtaumizwa kila uchao!!!!!!
 
Ni visiku vichache vimepita tangu niachane na alienipenda kutokana na sababu nilizowahi kuziainisha,

Ila nafurahia maisha ya kuwa single kwakua unaishi unavotaka na hakuna kufikiria unaibiwa wala nini,single ni raha sana jamani unakua huru kufanya yako kwa muda unaojua wewe,weekend ukiamua unatoka au ukiamua autoki.

Maisha haya ni matamu sana na najuta why sikugundua mapema...

...hakuna lolote bhanaaa, unajifariji tu....ngoja hizo siku zigeuke Miezi kisha uje utoe ushuhuda hapa.
 
Kitufe cha like hakitoshi!!

Waweke na kitufe cha kiss bana!

Unajifariji wewe. Kuomba visa ya kutoka na washkaji kuna raha yake. Unabembeleza afu unaruhusiwa, unaulizwa kama uko ok unadeka kidogo maisha yanaenda. Kweli utamu wa pipi mate yako.
 
Are u sure ni raha kua single ni raha si kwamba unajifariji tuu? na ushazoea kudate?m tellin u there will come a time where u'll feel alone j soo lonely u'll need to date again,hapana chezea Nature!!
 
Are u sure ni raha kua single ni raha si kwamba unajifariji tuu? na ushazoea kudate?m tellin u there will come a time where u'll feel alone j soo lonely u'll need to date again,hapana chezea Nature!!

It's all about the mindset my friend,

Single doesn't mean loneliness
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom