Ni vema ukaamua kuoa na endapo utaamua kuwa single basi epukana na vishawishi. Zaidi ya hapo utakuwa unazini. Zinaa ni mbaya machoni kwa wanadamu na MunguNi visiku vichache vimepita tangu niachane na alienipenda kutokana na sababu nilizowahi kuziainisha,
Ila nafurahia maisha ya kuwa single kwakua unaishi unavotaka na hakuna kufikiria unaibiwa wala nini,single ni raha sana jamani unakua huru kufanya yako kwa muda unaojua wewe,weekend ukiamua unatoka au ukiamua autoki.
Maisha haya ni matamu sana na najuta why sikugundua mapema...
Excel acha kujisifia,ucfkri sipendwi ndugu hayo ni maamuzi yangu.
teh.. Kuna njemba huwa zinatoa miguno ya kimahaba vitandani utadhani iko na madem kumbe inajipiga mabao!
Kuwa na mrembo/warembo ni vyema kabisa!
It's all about the mindset my friend,
Single doesn't mean loneliness
hahaaa!! mi ndo nsha click kiss bana!! ndo hivyo unaona notification hapo, Excel has kissed you!!
afu hako ka po nimesharestisha kwa amani!! ngoja nione utakavyoanza kutanga tanga!!
Hawaachani sana..they r buddies!
Unapodhani being single doesnt mean being lonely ni kama tu loneliness kaenda haja (chooni), akitoka tu wanaambatana wote tena...
So which is better??
Kuwa na mahusiano ambayo huna raha nayo au uwe pekee yako??
Nijibu tafadhali
nami pia nipo kama wewe japo Heaven on Earth ananisababisha nataka kukukimbia
mie nimefanyanye tena jamani
Ni visiku vichache vimepita tangu niachane na alienipenda kutokana na sababu nilizowahi kuziainisha,