Kuwa na six pack sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni, mapenzi ni sayansi

Binafsi nafanya mazoez ili niwe na muonekano mzuli nivae nguo ninayoitaka sio niliyoikuta na kulinda afya..

Hayo mambo ya kufikishana kileleni unayajua ww though nina pumzi mno kwny mambo yale.. Kinachonisumbuaga ni njaa tu ila sio kuchoka..
sure njaa bhana inanikaba sana huwa nakula usiku kucha yaan
 
Wakuu
Kuwa na six park sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni.

Watu wamekazana kwenda jim kuvimbisha vifua wenzako wanatumia sayansi ya mapenzi.

Kama tu kidole cha pete kinaweza kumfikisha mwanamke kileleni kwanini mnahangaika kunyenyua mivyuma.

Mapenzi ni sayansi, na sayansi ya mapenzi ni utundu. Pesa ni kilainishi.

Tafuta pesa, na kuielewa sayansi ya mapenzi ova.
Vijana wengi wa Dar ni washamba wa mapenzi na wanashinda gym ili kupata six pack akini wajue tu kitandani ni ubunifu na utundu, hata urefu wa nanii hausaidii, ni kujua kona ipi iguswe muda gani,.
 
Mkuu hapa umegongelea penyewe, wanajaza misuli kwa kunyanyua vyuma utadhani kitandani tunakwenda kucheza kriket au kulima.
 
Wakuu
Kuwa na six park sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni.

Watu wamekazana kwenda jim kuvimbisha vifua wenzako wanatumia sayansi ya mapenzi.

Kama tu kidole cha pete kinaweza kumfikisha mwanamke kileleni kwanini mnahangaika kunyenyua mivyuma.

Mapenzi ni sayansi, na sayansi ya mapenzi ni utundu. Pesa ni kilainishi.

Tafuta pesa, na kuielewa sayansi ya mapenzi ova.

Kitandani ni mwendo wa kutach tu kitandani hatulimi. Kijana jifunze kucheza na smart.
Kama huna hisia na mtu, hata iweje huwezi kufika kileleni
 
Wakuu
Kuwa na six park sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni.

Watu wamekazana kwenda jim kuvimbisha vifua wenzako wanatumia sayansi ya mapenzi.

Kama tu kidole cha pete kinaweza kumfikisha mwanamke kileleni kwanini mnahangaika kunyenyua mivyuma.

Mapenzi ni sayansi, na sayansi ya mapenzi ni utundu. Pesa ni kilainishi.

Tafuta pesa, na kuielewa sayansi ya mapenzi ova.

Kitandani ni mwendo wa kutach tu kitandani hatulimi. Kijana jifunze kucheza na smart.
Kwaiyo mmeo ndo anaenda jim alaf bado hakufikish kilelen ama
 
Wakuu
Kuwa na six park sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni.

Watu wamekazana kwenda jim kuvimbisha vifua wenzako wanatumia sayansi ya mapenzi.

Kama tu kidole cha pete kinaweza kumfikisha mwanamke kileleni kwanini mnahangaika kunyenyua mivyuma.

Mapenzi ni sayansi, na sayansi ya mapenzi ni utundu. Pesa ni kilainishi.

Tafuta pesa, na kuielewa sayansi ya mapenzi ova.

Kitandani ni mwendo wa kutach tu kitandani hatulimi. Kijana jifunze kucheza na smart.
Umenichekesha Sana jombaaaa
 
Wakuu,

Kuwa na six park sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni. Watu wamekazana kwenda jim kuvimbisha vifua wenzako wanatumia sayansi ya mapenzi.

Kama tu kidole cha pete kinaweza kumfikisha mwanamke kileleni kwanini mnahangaika kunyenyua mivyuma. Mapenzi ni sayansi, na sayansi ya mapenzi ni utundu. Pesa ni kilainishi. Tafuta pesa, na kuielewa sayansi ya mapenzi ova.

Kitandani ni mwendo wa kutach tu kitandani hatulimi. Kijana jifunze kucheza na smart.
Pole sana kwa kupigwa pipe na Six Pack halafu hujakojoa, ukaambulia maumivu kwa kurupushani za sex. Mwambie yeye, siyo sisi hatukuwepo wakati mnachubuana.
 
Back
Top Bottom