Mwanamke kutofika kileleni sio kosa la mwanaume

pureman2

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
1,494
2,538
Kuna kilio kikubwa Kwa wanaume kujilaumu Kwa kutumia dk chache na kufika kileleni na kuacha wenza wao hawajaridhika wawapo kitandani.

Kutokana na changamoto hii Kuna watu wanalishwa midawa hata wasiojua ubora na usalama wake. Wengine wamepoteza pesa nyingi Kwa hadaha na ya kupewa dawa na matibabu.

Ni vizuri kujua kua binadamu tuko tofauti, hata viwango vya test hutofautiana. Unaweza shangaa chai yenye sukari nyingi mwenzio anasema niongezee sukari. Ndivyo ilivyo kwenye mapenzi, mwingine dk 2 zinamtosha kabisaa kufika kilele Cha burudani ila mwingine yeye atataka dk 30.

kuhusu stamina kitandani. Suala hili ni matokeo ya vitu vingi ikiwemo utimamu wa kisaikolojia, afya ya mwili, na umri. Performance ya kijana haiwezi lingana na ya mzee , na hapa ndo mantiki ya ule usemi vunja mifupa angali meno yamo! Umri ukipita Kuna vitu hutovifaidi. Moja ya vitu hivyo ni starehe ya kuchakata mbususu, aka utamu wa dunia.

Lazima pia kutambua sex ni starehe na sanaaa. Lengo la msingi ni ufurahi na sio kumfurahisha mwenzio. Ni wajibu wa Kila anaeshiriki kuwajibika ai enjoy. Sasa Kuna kitu kisichosawa ambacho jamii imekiweka kama mtego Kwa wanaume. Haijarishi utatumia dk 3, 5 au 10 ikiwa unafika kilele wewe umefanikiwa kujiburudisha. Hupaswi kujilaumu Kwa Kwa kutumia muda mfupi kama mwanaume.

Changamoto ya kutoridhika kitandani Kwa sehemu kubwa ni ya wanawake. Ila Kwa uvivu wao na makasiliko Yao wanefanikiwa kumtupia mzigo mwanaume . Ukweli ni kwamba mwanamke Akiwa na hisia ya kimapenzi na mwanaume anao uwezo wa kukojoa hata mara 3 ndani ya dk 5. Ukiona hafiki ujue Kuna kitu Kwa upande wake hakiko sawa. Labda ana stress zake, maisha yamemvuruga, upendo umeisha, anafanya sex Kwa kulazimishwa na Mazingira ila hana mood, yote haya yanaweza mfanya mwanamke asifike kileleni. Hivyo shida ya mwanamke asibebeshwe mwaume.

Mwisho, raha ya sex ni kunyegezana, ongeeni vizuri, tanianeni, piganeni kiss , kumbatianeni, chezeaneni miili yenu, na pendezeni na muwe na amani. Hivyo upendo, uaminifu na sanaaa, na usafi lazima vizingatiwe Kwa starehe mjarabu wa tendo la ndoa.

Kumbuka extra marital sex is a sin
 
Ngoja waje wasiofikishwa kuja kuthibitisha.
 
Back
Top Bottom