Hivi ni kwanini ukiwa huna pesa unakuwa na hisia sana za mapenzi

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
14,181
21,321
Habari wakuu ..

Hii kitu sijajua imekaa vipi nimefanya uchunguzi wangu nimegundua wanaume wengi ambao vipato ni vidogo ,pesa za kula tu Milo mitatu zinapiga chenga kipaombele kingi sana kwao ni mapenzi na ngono ,kushoobokea mademu ,matusi na maneno ya kingono ngono kila sekunde ...!

Asilimia 90 za ubongo unakuwa unatawaliwa na kumkunja mwanamke kitandani ,kumpelekea moto ,Tako kubwa ,namna ya kumfikisha mwanamke kileleni na blaaa blaaa kibao ...

ila wenye pesa sasa ,hata hawana time kabisa na hizo mambo ,yaani wapo cool Sana ,hata shobo na wanawake sio kivile ,wao muda wote wanaenjoy Kwa namna yao ....!

Hii imekaaje wakuu ...!!
 
Oshey mr 💰
 
Unapo kuwa masikini kichwa kanakuwa hakina vitu vingi hivyo kichwa kinakuwa huru na nafasi kubwa ya kuwaza upuuzi na upumbavu mwingi, sasa mtu geto kuna tv na kitanda kichwa chako kitawaza nn ?

Lakini ukiwa na kipato kichwa kinakuwa kimejaa mambo mengi mfano una duka la simu ambalo mzunguko wake ni milion 100 utakuwa unawaza ni namna gani ununue mzigo upate faida, bado mwenye frem unatakiwa umlipe, bado TRA hawaja kupigia hodi,bado wafanya kazi ulio waajili una takiwa kuwalipa , bado kuna bado kuna kuibiwa hivi kwa namna hiyo muda wa kuwaza ngono na kutukanana na watu utaupata wapi?
 
Nilitegemea masikin ndio awe busy kwanin ,hata hela ya kula ni majanga ,Kodi ,watoto kusomesha ,mambo kibao ....ila ndio kila muda anawaza kipochi manyoyaaa....
 
Habari wakuu ..

Hii kitu sijajua imekaa vipi nimefanya uchunguzi wangu nimegundua wanaume wengi ambao vipato ni vidogo ,pesa za kula tu Milo mitatu zinapiga chenga kipaombele kingi sana kwao ni mapenzi na ngono ,kushoobokea mademu ,matusi na maneno ya kingono ngono kila sekunde ...!

Asilimia 90 za ubongo unakuwa unatawaliwa na kumkunja mwanamke kitandani ,kumpelekea moto ,Tako kubwa ,namna ya kumfikisha mwanamke kileleni na blaaa blaaa kibao ...

ila wenye pesa sasa ,hata hawana time kabisa na hizo mambo ,yaani wapo cool Sana ,hata shobo na wanawake sio kivile ,wao muda wote wanaenjoy Kwa namna yao ....!

Hii imekaaje wakuu ...!!
Akili zao zinakua zimejaa mawazo ya pesa ndio maana wanazo sana.
 
Kuna classmate wangu alifeli matokeo ya form four miaka hyo.., akanambia sikia AKAN siwezi feli masomo na nikafeli mademu .., kilichotokea ni hadithi...
 
Back
Top Bottom