MEGATRONE
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 1,266
- 2,316
Wewe ukikaziwa kidogo tu unatoa jichoš®Am sure hujawahi kukutana na mwanaume finest kama mimi.
Wewe ukikaziwa kidogo tu unatoa jichoš®Am sure hujawahi kukutana na mwanaume finest kama mimi.
Sanaa sikufikii kwa uremboUnataka kusema nini? We bila shaka unasura personal
Wadada wa jamiiforums mko toxic sana, kuniita mrembo hakutakusaidia.Sanaa sikufikii kwa urembo
Kuhusu kutaka kusema nini...Nimesoma huko juu kwamba ww sio mwanaume mara wewe upinde..ndo nawaambia huyo ni mwanaume mwenzenu au nakosea?
Umeoa tako kwani??Tako jamani mbona mnasahau tako
Hee makubwa nachambwa sasa...Wadada wa jamiiforums mko toxic sana, kuniita mrembo hakutakusaidia.
Ndio tako ndio naoa au basi titiUmeoa tako kwani??
Sisi weusi kama tyre za GENERAL TYRES TUKOMENTI WAPI..Kuna watu wanadhani ukiwa mweupe ndio unakua mzuri na wengine wanakwambia ā weupe umekubebaā, ila kiuhalisia kuwa na muonekano mzuri ni combination ya vitu vingi.
Kwa mfano mimi mbali na kua mweupe, kuna watu wanapenda ninavyo smile,
Kuna wanapenda kucha zangu,
Kuna wanapenda macho na midomo,
Na wengine wako tu general kua wananipenda kua kwa muonekano wangu ki ujumla.
Hivyo ukiwa mweupe usijione ni mzuri, uwe na sifa zinazoeleweka
Kaka tule bia aseeSisi weusi kama tyre za GENERAL TYRES TUKOMENTI WAPI..
Namalizia issues hapa ni mwendo wa kukata muti panda mutiii yaani shoka moja mti chiniiKaka tule bia asee
jibuNdio tako ndio naoa au basi titi
ChaiKuna watu wanadhani ukiwa mweupe ndio unakua mzuri na wengine wanakwambia ā weupe umekubebaā, ila kiuhalisia kuwa na muonekano mzuri ni combination ya vitu vingi.