HOLY BLINDFOLD
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 3,692
- 6,371
Wasiwasi Wako Tu....
me ni cheusi mangala mwayaMweupe mwingine wewe apo
nzuri tu mtoto mzuri hujamboHabari yako bro...🙋♂️
Sio cheupe dawa?me ni cheusi mangala mwaya
awapiSio cheupe dawa?
Tako lipo lakini?awapi
Kabisa tena tako la pundamilia zuri kuliko mademu wengi tuu. Ni vile ile mali ya serikali ila ningepita nao au punfamiliaAta pundamilia ana tako shekhe
Wee usisemwe kisa nini....binadamu kusemwa utasemwa tuu kama hutaki kusema kajinyonge🤣🤣🤣🤣Wengine wanatumia mikorogo jasho zao zinatoa harufu Kali mnakuja humu Tena kuwasema ila wanaume mmmmmh
Bwashee asikuumize kichwa marangi rangi hasa Hawa wa Tanzania wengi wanaji kirimu wengi weusi ,,,Nyie ndio mnasababisha wanaume weupe wengi waonekane wadudu komba mavi gademiiit 🚮
Huyo una hakika ni ke mkuu 🤔Ulivotaja vyote nonsense wanaume tunapenda mzigo Tako na kifua , iyo midomo na weupe wapee wasukuma😅😅
Nikajua kuwa mweupe means "kutokuwa na Akili kichwan" 🙏Kuna watu wanadhani ukiwa mweupe ndio unakua mzuri na wengine wanakwambia “ weupe umekubeba”, ila kiuhalisia kuwa na muonekano mzuri ni combination ya vitu vingi.
Kwa mfano mimi mbali na kua mweupe, kuna watu wanapenda ninavyo smile,
Kuna wanapenda kucha zangu,
Kuna wanapenda macho na midomo,
Na wengine wako tu general kua wananipenda kua kwa muonekano wangu ki ujumla.
Hivyo ukiwa mweupe usijione ni mzuri, uwe na sifa zinazoeleweka
Du hilo neno Nywanoko nimetafuta kwa kamusi sijalionaKama wewe ni ME basi una hitilafu mahali fulani
Nywanoko!
Hao wamechoka waoWapi huko waliopo hapa mtaani wamechoka balaa na wengine single mother kila mtoto na baba yake